ibrahim lipumba

Professor Ibrahim Haruna Lipumba (born 6 June 1952 in Ilolangulu, Tanganyika Territory) is a Tanzanian economist and politician He served as the National Chairman of the opposition Civic United Front (CUF) party from 1995 until his resignation in August 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Pre GE2025 Profesa Ibrahim Lipumba: Mwaka 2020 niligombea Urais na Lissu aliniwekea pingamizi ili nisigombee. Watanzania wawe makini na Lissu

    Wakuu, Katika mahojiano na Charles William , Mwenyekiti wa CUF Taifa Profesa Ibrahim Lipumba ameeleza kuwa CHADEMA imekua ikikataa ushirikiano wowote wa kisiasa. Pia Lipumba alieleza kuwa Tundu Lissu aliyekuwa mgombea wao wa Urais alifikia hatua ya kumuwekea pingamizi ili aenguliwe katika...
  2. T

    Pre GE2025 Profesa Lipumba anadai hakutaka kuendelea na Uenyekiti baada ya miaka 25 ila wanachama walimlazimisha

    Mwenyekiti wa chama cha CUF, Prof Lipumba bhana alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi Tv ameeleza kuwa hakutaka kabisa kuendelea na suala la uenyekiti wa CUF Taifa baada ya kuongoza kwa miaka 25 lakini wananchama wakamlazimisha na kisha wakamchukulia fomu na wakairudisha kwa niaba yake. Soma...
  3. Pre GE2025 Profesa Lipumba: Nilishawahi kuhutubia mpaka nikapewa mbuzi na wananchi lakini bado nikapata kura 0

    Wakuu, Lissu anaposema No Reforms No Election ndo huwa anamaanisha mambo haya. Huyu baba alizunguka Kisesa yote kipindi hicho na bado akapata kura 0 Hii ni ishara tosha kuwa CUF inatakiwa kuungana na Lissu kwenye ajenda ya No Reforms No Election Msikilize hapa:
  4. T

    Pre GE2025 CUF wamtaka Prof. Ibrahim Lipumba aachie ngazi akafanye majukumu mengine nje na siasa, wanadai anaua chama yeye na genge lake

    Wanachama wanadai Prof. Lipumba hajafuata mchakato wa kikanuni wa kugombea uenyekiti, ikiwemo kutofuata utaratibu wa kuchukua fomu. Wanasema Lipumba hakuchukua fomu, hakurudisha wala kusaini na badala yake inadaiwa kuna watu ambao ndiyo walimfanyia, jambo ambalo ni tofauti na utaratibu wa Chama...
  5. Prof Ibrahim Lipumba: Sera ya serikali katika huduma ya Afya ni kuwa wanawake wajawazito watatibiwa bure ni kama danganya toto

    Sera ya serikali katika huduma ya Afya ni kuwa wanawake wajawazito watatibiwa bure ni kama danganya toto. Mfano wa kusikitisha ni wa marehemu Husna Saidi Abdallah aliyejifungua katika Hospitali ya Kivinje, Kilwa. Afya yake ilianza kudhoofika Kwa tatizo la upungufu wa damu na kuvimba miguu...
  6. Nashauri Prof. Lipumba, Dkt. Slaa, Mbowe, Lissu na Mzee Rungwe wagombee ubunge tu

    Kwa hali halisi na mazingira ya sasa ya uelekeo wa upepo wa kisiasa nchini ni dhahiri kwa miaka kumi ijayo, wanawake wana nafasi kubwa mno, hasa kwa nafasi za juu za uongozi wa nchi kisiasa ukilinganisha na wananume wenye sifa kiasi dhidi ya nyingi na za ziada kwa upande wa wananwake Tanzania...
  7. Ibrahim Lipumba na Zitto Kabwe wamejipa likizo, wanasubiri 2030 waibuke mafichoni?

    Lipumba na Cuf yake walikuwa wa moto sana kipindi cha Mkapa, kulituhumiwa kuwa chama chenye mrengo wa dini ya kiislam, walimpelekesha Mkapa kwelikweli akateua muislam Omary Maita kuwa IGP ngangari kwa nginguri. Alivyoingia Kikwete madarakani CUF ikajifia hswakuwa na agenda tena ,maana lengo...
  8. Profesa Ibrahim Lipumba awaomba radhi Wazanzibar, yupo tayari kuachia Uenyekiti wa CUF

    Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, leo Jumamosi tarehe 12 Februari, 2022 amesema nafasi yake iko wazi… "Natoa wito na kuwahakikishia wanachama kwamba, hii nafasi ya mwenyekiti iko wazi kwenye uchaguzi unaokuja, kwa maana kwamba kila mmoja anaweza kugombea nafasi hiyo. “Nawaomba radhi...
  9. Profesa Ibrahim Lipumba: Mawaziri wapewe mkataba wa mwaka mmoja, atakayeshindwa kufanya kazi atumbuliwe

    Mwenyekiti wa Cuf na bingwa wa masuala ya uchumi duniani ameshauri kuwa Rais wa JMT samia na makamu wake Dk Mpango wawe wanawapa mkataba wa mwaka mmoja mwaziri ili anayeshindwa kazi atumbuliwe kihalali.
  10. Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa Chama cha CUF, Prof Lipumba atema madini kupitia kipindi cha Dakika 45

    Ikiwa ni kipindi cha wagombea kunadi sera zao kwa wapiga kura kabla ya zoezi zima la mchakato wa kuwapata viongozi Wakuu wa kitaifa hapo Oktoba 28, Mgombea Urais kupitia Chama cha Civic United Front (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba amefanya mahojiano katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa kupitia...
  11. Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

    Mkurugenzi wa Uchaguzi: Tume ya uchaguzi baada ya kupokea pingamizi dhidi ya wagombea hao, imewataarifu wawekewa pingamizi mapema iwezekanavyo na wahusika wamewasilisha utetezi wao. Pingamizi dhidi ya mgombea wa CUF kwamba hakurudisha fomu kwa mujibu wa masharti yaliwekwa na sheria, tume baada...
  12. Ziara ya siku 4 ya Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Ibrahim Lipumba huko Pemba imeleta hamasa kubwa na kupokea zaidi ya wanachama wapya 723

    ZIARA YA SIKU NNE (4) YA MWENYEKITI WA CHAMA TAIFA MHE. PROF. IBRAHIM LIPUMBA HUKO PEMBA IMELETA HAMASA KUBWA NA KUPOKEA ZAIDI YA WANACHAMA WAPYA 723. Ziara hiyo imekijengea Chama Heshima Kubwa kwa kukiwezesha Kurejesha Ngome yake huko Pemba na kukiwezesha Chama kuwarudishia Hamasa wanachama...
  13. Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

    Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akiagana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam. My take,hizi ndo siasa safi. ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…