ibrahimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Swali fikirishi: Inasemekana kipindi isaka anatolewa sadaka na baba yake ibrahimu Isaka alikuwa na umri wa miaka 34 je Isaka alikubali vipi?

    Wakuu unaposoma tu weweunadhani lilikuwa jambo rahisi sana .........soma kwanza Mwanzo 22:1Ikawa baada ya mambo hayo Mungu alimjaribu Ibrahimu, akamwambia, Ee Ibrahimu! Naye akasema, Mimi hapa. 2 Akasema, Umchukue mwanao, mwana wako wa pekee, umpendaye, Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria...
  2. U

    "Lakini wana wa masuria aliokuwa nao Ibrahimu, Ibrahimu akawapa zawadi, naye akawaondoa katika mahali alipokaa Isaka Mwanawe, wakati wa uhai wake"

    Wadau hamjamboni nyote? Ukweli uko wazi na lazima usemwe hata kama unakera Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia Siku njema Genesis 25:6
  3. Jackwillpower

    Je, ni kweli Ibrahimu alijenga kaabah?

    Uislamu (au tuseme Muhammad), anadai kuwa Ibrahimu ndiye aliyejenga Kaabah. Mtu anapochunguza kwa makini jambo hili, ni vigumu sana kuamini kuwa Uislamu uko sahihi. Badala yake mtu unasukumwa kuwaza kwamba yamkini Muhammad alianzisha hadithi kama hizi ili kujipa uhalali wa kuwa mtume. Hebu...
  4. U

    Je wapo Mitume na Manabii walioswali kwenye nyumba takatifu ya Ka’abaa zaidi ya Ibrahimu na Mohamed?

    Je wapo Mitume na Manabii walioswali kwenye nyumba ya Ibada ya Ka’abaa zaidi ya Ibrahimu na Mohamed? Wadau hamjamboni nyote? Moderator naomba Uzi huu kwingineko Kwa mujibu wa maandiko ni Manabii au Mitume wangapi waliowahi kuitumia Ka’abaa au kwa (Bait – ul- Haram) kwa ajili ya Kufanya Ibada...
  5. U

    Kwanini Isaka pekee aliagizwa na Ibrahimu asioe Binti wa Kanani?

    Wadau hamjamboniInafahamika wazi Ibrahimu baba yetu wa Imani alikuwa na Watoto kadhaa akitangulia Ishmael aliyekuwa mkubwa Isaka na Watoto wengine aliozaa na Ketura mke aliyemuoa baada ya kufiwa na Sara ambao ni Zimrani, na Yokshani, na Medani, na Midiani, na Ishbaki, na Sua Nimepitia...
Back
Top Bottom