Napenda sana kujifunza Mapishi mbalimbali na kutengeneza nyumbani.
Lakini linapokuja Suala la “Icecream” za Maziwa kuna kitu Bado sijaelewa vizuri.
Wajuzi wa kutengeneza naomba msaada.
Habari,
Kwa yoyote anayehitaji hii machine, naiuza, ni yangu, nimeitumia kwa miezi miwili tuu, ni nzima kabisa, nauza kwa sababu nimekosa muda wa kusimamia, machine ipo Morogoro.
Bei ni 1,600,000, kama utahitaji piga simu no. 0628015467
Habari wana-jamiiforums,
Tunauza mashine za kutengeneza Icecream (Icecream Makers Machines). Mashine zetu ni mpya kabisa. Pia endapo utanunua kwetu, tutakuelekeza jinsi ya kutengeneza icecream sambamba na kukuagizia spares moja kwa moja kutoka kiwandani endapo utahitaji. Sifa za mashine zetu ni...
Machine mpya kabisa kwa ajili ya kukatia nyama,samaki na mifupa
Ni imara na haikati misumeno
Ina watts 550
Ina sehemu ya kusagia nyama
Ina warranty mwaka mmoja
Bei 1,350,000 tu
Tunapatikana kariakoo ndanda st
Tunadeliver free kwa dar pia.
Call/text/WhatsApp 0656666662.
Tunauza machine mpya kabisa kwa za hard ice cream au maarufu gelato.
Voltage: 110V/220V 50/60hz
Power: 1.6KW
Size: 525 x 490 x 640mm
Weight: 65kg
Cylinder : 5L
Cylinder Size: 22 x 10.5cm
Capacity: 20L/h
Machine ina uwezo wa kuzalisha mpaka lita 20 kwa saa,unaweza pia ukaweka...
Wakuu habari zenu.
Nauza mashine ya chostic zile za kulamba (za vijiti) kama za Azam.
Mashine bei ni Million 1, vikopo vyake ni 270 kila kimoja. Inagandisha chostic 80 ndani ya dakika 20.
Pia nauza freezer la kioo (heavy duty), bei laki 7. na madeli nauza 65,000 kila moja na yako madeli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.