Kundi la watumiaji huduma liitwalo Which? kutoka Uingereza, limefungua madai ya pauni bilioni 3 (zaidi ya Tsh. Trilioni 10.19) dhidi ya kampuni ya Apple, ikidai kampuni hiyo kubwa ya teknolojia imekiuka sheria ya ushindani kwa "kulazimisha matumizi ya huduma zake za iCloud kwa wateja".
Inasema...
Wakuu habari ya nyie naamini mko good kabisa, straight to the point, kuna kimeo hapa cha iPhone SE kina run IOS 14.3 nahitaji kukitoa iCloud lock nimejaribu kuki jailbreak kimekubali issue ilo nileta hapa ni kupata software ya ku-bypass iCloud make kila ninayo kutana nayo inadai kununua hapo ndo...
Habari wakuu, Ninatoa huduma ya ku bypass iCloud kwenye iPhone Huduma ni kama ifuatavyo
iPhone Bypass (Huduma ina bypass iCloud activation na unaweza kuendelea kutumia simu yako kama kawaida bila kujua email wala password)
iPhone Disabled/Passcode (Kama uko na iPhone haujui passcode zake...
Habari,
Nilijaribu kuomba kuhusu kufuta apple id yangu, lakini nilifanya kosa (nilitakiwa kusaini out kwanza katika Iphone yangu kabla ya kuifuta) kwa hivyo sasa kila nikijarb ku sign out naambiwa sina apple id kwa maana ya kwamba apple id yangu imeisha futwa. Lakini kwa sasa natumia simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.