Polisi Goba, Dar, wajeruhi kwa kipigo, majeruhi yuko ICU, anapumlia mashine, madaktari wasema, kupona kwake utakuwa muujiza wa Mungu....
Jumatano, November 10, 2021, Polisi Goba walimkamata Issa Kassim (20), nyumbani kwao huko Goba kwa madai kwamba ameuziwa TV ya wizi, tukio ambalo mtuhumiwa...