Nipo Muhimbili hapa...idadi kubwa ya wagonjwa na wapendwa wao ni wamama ... ni kwamba men hawaumwi!?
No wonder men ndo sababu tunakufa fasta hatuna muda wa kupokea tiba
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Amesema ya Kuwa...
Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU;
1. Afrika Kusini: 7,700,000
2. Msumbiji: 2,400,000
3. Nigeria: 1,700,000
4. Uganda: 1,500,000
5. Kenya: 1,400,000
6. Zambia: 1,300,000
7. Zimbabwe: 1,300,000
8. Malawi: 980,000
9. Ethiopia: 610,000
10. DRC: 520,000
Dar es Salaam, asubuhi karibia theluthi mbili ya wakazi wote wa mji wanaofanya kazi wanaenda Kariakoo, Posta na Ubongo katika maofisi, kwenye biashara na pia kufuata huduma mbalimbali za kiofisi, halafu jioni tena karibia watu wote hao wanageuza kurudi makwao kwa pamoja kama kumbi kumbi.
Kwa...
Jamii nyingi za WATU weusi zina Crab mentality au huitwa kaa kwenye ndoo.
Kaa wakiwa kwenye Ndoo yule mmoja anayejaribu kutoka huwa anavutwa na kurudishwa ndani ili asitoke , maana yake kinachotekea hakuna kaa atakayefanikiwa kutoka katika ndoo.
Hii ndo mentality ya jamii nyingi za WATU weusi...
Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa
Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania wenzangu inawezekana hawajafundishwa shuleni namna ya kujibu maswali kama sivyo wamejawa na dhihaka...
Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha ndiyo maana neno ndoa limekuwa likipigiwa kelele kila kona huku maswali ya kuoa au kuolewa yakizidi kusumbua akili za watu wanaoulizwa au kuwakera ikitegemea na namna mtu anavyochukuliwa
Ukweli ni kuwa Kuoa au Kuolewa sio...
Natafakari sana aisee hivi kwanini mikoa mingi ambayo kuna idadi kubwa ya waislamu kuna maambukizi machache ya virusi vya ukimwi?
Tunaona kila mwaka mikoa kama lindi na sehemu kama zanzibar ambapo kuna idadi kubwa ya waislamu kunaripotiwa visa vichache vya amambukizi ya ukimwi je kwamba wana...
DKT. FLORENCE SAMIZI: MATOKEO YA ROYAL TOUR YAONEKANA MOYOWOSI, IDADI KUBWA YA WATALII NA MAPATO VYAONGEZEKA
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe wilayani Kibondo Mhe. Dkt. Florence Samizi amesema filamu maarufu ya Tanzania The Royal Tour iliyochezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt...
Hatmaye Chama Cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) chazidi kushika kasi kwa kuongeza idadi ya wanachama, wengi wao wakiwa ni wale wanaohama kutoka CWT.
Wilayani Butiama mkoani Mara kumekuwa na kasi kubwa ya uhitaji na ujazaji wa fomu za kujitoa kwenye chama chao cha...
Wakati matumizi ya mtandao barani Afrika bado ni ya chini ikilinganishwa na maeneo mengine ya dunia, hatua kubwa zimepigwa katika miaka ya hivi karibuni.
Mtandao sasa ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku, na umebadilisha sana jinsi tunavyowasiliana, kufanya kazi, kujifunza na kupata...
Ni ukweli usiopingika kwamba wafanyabiashara wana pesa nyingi, hata ukiangalia top 20 ya matajiri hapa Tz utawakuta wafanyabiashara wamejaa wao hasa wahindi , wasarabu na wasomali, hata baada ya hapo kuna watanzania wenye asili zetu wanaofanya biasbara.
Lakini katika kigezo cha idadi ya...
Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.
Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na...
1. Mzize - Mchezaji wa Yanga
Ukristo kwenda uislam
2. P Funk - Producer
Ukristo kwenda uislam
3 Shomari Kapombe - Mchezaji wa mpira
Uislam kwenda Ukristo
4. Barnaba - Msanii wa Muziki
Ukristo kwenda uislam
5. Mwijaku - journalist infuencer
Ukristo kwenda uislam
6. Young killer -...
Ripoti ya Ribo ya Mwisho wa Mwaka 2023 inayoangazia Huduma za Mawasiliano Nchini, imeonesha katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2023 kulikuwa na Majaribio ya Udanganyifu 21,788 katika Mikoa 29 huku Mkoa wa #Rukwa ukiongoza kwa majaribio 7,666.
Aidha, Mtandao wa #Tigo umeongoza kwa kurekodi...
In this article, we take a look at cities with the highest female to male ratio in the world. You can skip our detailed analysis on migration, economy and gender ratio and go directly to the 5 Cities with Highest Female to Male Ratio in the World.
As of 2023, there are 8 billion people in the...
Kama kichwa cha mada kinavyobainisha, hizi ni hisia zangu tu.
Sijafanya utafiti ulio rasmi. Sina uwezo wa kiakili wala wa kiutaalamu kuweza kufanya utafiti wowote ule ulio wa kisayansi.
Ni hisia zangu kama mtu na raia mwenye busara za kawaida tu [common sense] ambaye hupenda kuangalia na...
Nini kifanyike?
Kiukweli idadi ya wenye nyumba maskini ni kubwa mno jijini Dar na miji mingine nchini kwetu. Je, ni mitazamo mibovu ya wananchi wengi kuhusu kumiliki nyumba? Yaani kwa haraka haraka kuna wapangaji wengi wana maisha mazuri kuliko wapangishaji. Maeneo ya uswahilini ni kawaida...
Wakati Bara la Afrika likiendelea kukabiliana na masuala muhimu kama vile Umaskini, ongezeko la Magonjwa Yanayoambukiza na Yasiyoambukiza, na Mtikisiko wa Masuala ya Kiutawala katika baadhi ya Nchi, Matukio ya Watu kujiua nayo yanaendelea kuwa janga linalokua kwa kasi.
Mbali na changamoto za...
Waziri mkuu wa Sweden ameshtushwa na idadi kubwa ya watu wanaoomba kila siku kibali cha kufanya maandamano na kuchoma Quran na kuidhalilisha.
Waziri mkuu anasema idadi hiyo inaongezeka siku hadi siku na hivyo hajui nini kitatokea kama hii hali ikiendelea.
Tukumbuke hivi karibuni kumekua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.