idadi ya mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Je, hawa Africa Facts Zone wako accurate? Eti wanasema Yanga ina mashabiki milioni 35 na Simba ina mashabiki milioni 10

    Kwa hio eti Yanga ina mashabiki milioni 25 kuzidi Simba? Sijui wakuu ila sidhani aisee
Back
Top Bottom