NI nadra kusikia jambo hili likizingumzwa na wanasiasa na hata viongozi wa serikali, lakini ni kweli kwamba miaka 1980, Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere alipendekeza kuwe na Sera ya Watu.
Katika sera hiyo, Mwalimu Nyerere alitaka kuwekwe masharti kwamba kila familia isiwe na zaidi...
Mtangazaji #NickCannon akifanya mahojiano na kipindi cha #EntertainmentTonight, amesema suala la idadi ya Watoto halimhusu yeye na hivyo hawezi kusema kama amefikia mwisho wa kupata wengine.
Kuhusu malengo ya Watoto wake hapo baadaye, Rapa na Mwigizaji huyo amesema wakikua wataamua wenyewe kitu...
Nafikiri ni wakati muafaka sasa kwa serikali kutupangia idadi ya watoto na siyo kuzaana zaana tu, tukiendelea na tabia hii, nchi itashishwa kujiendeleza na kufanya kazi ya kujenga mashule na mazahanati, lazima kuwe na limit, ili pesa inayopatikana ikafanye maendeleo mengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.