idadi ya watu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia atishwa na kasi ya ongezeko la Idadi ya Watu, lisilioendana na kasi ya ukuaji wa Uchumi wetu

    Rais Samia, ameonya juu ya ongezeko la idadi ya watu lisiloendana na kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi. Akizungumza leo, Februari 1, 2025, katika uzinduzi wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014, toleo la 2023, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Mrisho Kikwete, jijini Dodoma, Rais...
  2. POTOSHI Kwa mujibu wa Sensa ya watu na makazi 2022 idadi ya watu nchini ni milioni 64

    Wakuu leo katika pitapita za hapa na pale mtandaoni nimekutana na hii kauli ya Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Bara, Benson Kigaila kuwa idadi ya watanzania ni milioni 64 kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Bara Je uhalisia wa hili ni upi wakuu?
  3. Uingereza: Idadi ya watu wasioamini uwepo wa Mungu yazidi Wanaoamini, Utafiti Wabaini

    Utafiti mpya uliofanywa na Chuo Kikuu cha Queen’s, Belfast, umebaini kuwa nchini Uingereza, idadi ya watu wasioamini uwepo wa Mungu imezidi wale wanaoamini. Matokeo haya yanatokana na utafiti wa miaka mitatu unaofanywa kimataifa ili kuchunguza sababu za kuongezeka kwa ukosefu wa imani. Karibu...
  4. L

    Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu

    Ndugu zangu Watanzania, Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE...
  5. WHO: DRC ina idadi ya Watu wengi wanaohitaji Msaada wa Kibinadamu Duniani

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema takriban watu Milioni 25.4 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanakabiliwa na Mgogoro wa Kiafya na Kibinadamu kutokana na kuongezeka kwa mzozo na vurugu, hasa katika marneo ya Mashariki ya nchi Shirika hilo lilisema kuongezeka kwa vurugu za makundi ya...
  6. Tanzania ya tano kwa idadi ya watu wengi Afrika. Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika

    Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika Nigeria inaongoza kwa takriban watu 223,804,6322 ikifuatwana na Ethiopia ikiwa na watu 126,527,060 • Kenya ni ya saba kwa watu 55,100, 58755,001 huku Tanzania wakiwa mbelekatika nafasi ya tano.
  7. Uwiano ya bajeti 2024 kwa idadi ya watu kati ya Zanzibar na Tanzania Bara siyo sawa. Zanzibar imependelewa zaidi mara 12. Ona hapa

    Bajeti Tanzania Bara ni takriban trilioni 50. Bajeti ya Tanzania Zanzibar ni takriban trilioni 5 . Hivyo Uwiano ni 10: 1 Ukija kwenye idadi ya watu Tanzania Bara ni takriban Milioni 60 , na Tz Zanzibar Milioni 0.5 (laki 5) . Hivyo uwiano 120: 1. Ukiangalia mlinganyo huo, uwiano wa idadi ya...
  8. K

    Uwakilishi wa ubunge utokane na idadi ya watu

    Naunga mkono uwakilishi ni lazima ulingane na idadi ya watu. Wanzanzibari mfano haijulikani kwanini wawakilishi wao ni wengi sana wakati wapiga kura ni 500k tu. Lakini kuna majimbo mengi yenye watu wengi sana. Utaratibu wa wabunge inabidi ubadilike. Hili halina Chama ni usawa na haki kwa raia...
  9. Kwa idadi ya watu wazito na matajiri wanaolitaka jimbo la Kawe kupitia CCM mwaka 2025, Bishop Gwajima anza kutuaga sasa wana Kawe

    Halafu Bishop Gwajima nasikia kwa sasa unaomba sana Mungu mpango wa Mamlaka (Serikali) kuligawa Jimbo la Kawe ambapo kutakuwa na Kawe A litakaloishia Afrikana au Mbuyuni na kuwe na Jimbo lingine la Kawe B ambalo litaanzia Tegeta kwa Ndevu na litakaloijumuisha hadi Mapinga ambayo taarifa za chini...
  10. WHO: Takriban nusu ya watu duniani watakuwa na matatizo ya macho kufikia 2050.

    Na Dr.Kenge MD, Jini makini,vidole Madini 2024, Tabasamu la furaha linashamiri nyusoni kwa wengi.Ni saa ya Kirumi inaposoma kukamilika kwa Majuma 365 ambayo kwa wanajiografia wanasema "Earth completes its orbit within 365½ days" .Kukamilika kwa mzunguko wa dunia ambao ndani kuna misimu minne...
  11. Idadi ya watu Duniani kufika bilion 8+ mwaka 2024 huku wanaume tukitarajiwa kuongoza

    Idadi ya watu duniani inatarajiwa kufika Bilioni 8, kunako January 1 huku sisi Me tukitarajiwa kuongoza kwa asilimia chache. Ongezeko la watu duniani linachangiwa na vitu vifuatavyo; ✓ Kuboreka kwa huduma za kibinadamu hasa teknolojia ya matibabu ✓ Upatikanaji wa vyakula Ongeza zakwako.
  12. S

    Machozi ya Waziri Byabato na idadi ya watu milioni 64 wanaoongezeka kila kukicha

    Nimeiona video ya Naibu Waziri wa Nishati Stephen Byabato anaonekana akilia mbele ya hadhira ya mkutano mmoja kule Bukoba. Sauti yake pia inatembea katika mtandao wa WhatsApp akisikika kama analia wakati akidai anahujumiwa ili asiweze kutekeleza ahadi zake za 2020. Muda unaenda kasi na ahadi...
  13. Asilimia 53.1 ya idadi ya Watu Duniani hawana malipo ya Hifadhi ya Jamii

    Haki ya Ulinzi wa Kijamii bado haiwezi kufikiwa na Watu wengi Duniani, hasa wale wanaohitaji zaidi wakiwemo Watoto, Wanawake na Wasichana, Wazee, Watu wenye Ulemavu na Masikini Takwimu za Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa zinasema Asilimia 53.1 ya idadi ya Watu Duniani hawana malipo...
  14. Rais wa Misri atoa wito hatua kuchukuliwa ili kupunguza Uzazi Nchini kwake, ni kutokana na idadi ya watu kuongezeka

    Egypt President Calls For Measures To Slow Birthrate Egyptian President Abdel Fattah al-Sisi called Tuesday for measures to slow the birthrate in the Arab world's most populous country, citing China's one-child policy as an example. "We need 400,000 births per year," said the leader of the...
  15. SI KWELI World Economic Forums, Bill Gates na Albert Bourla wana mipango ya kupunguza idadi ya watu duniani

    Hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinazohusisha taasisi na watu maarufu duniani kuwa na mpango wa kupunguza idadi ya watu duniani. Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na Bill Gates kuelezwa kuandika katika mitandao wa kijamii akimshauri kiongozi wa World Economic Forums (WEF), Klaus Schwab juu ya...
  16. SoC03 Uanzishwaji wa Viwanda vijijini Sera mojawapo ya kupunguza idadi ya watu na vijana wasio kuwa na Ajira katika Miji mikubwa

    Kwa nchi kama Tanzania ambayo ipo katika nchi zinazoendelea duniani inahitajika jitihada kubwa kutoka kwa viongozi wetu katika kujenga uchumi wa nchi yetu hasa kupitia katika nyanja kuu ya uchumi ambayo ni kilimo Imo na viwanda . Endapo sera hii ikitumika vyema Na Serikali basi manufaa...
  17. Siku ya Idadi ya Watu: Je, wajua idadi ya watu duniani ilitoka Bilioni 7 - 8 kwa miaka 12, ila inakadiriwa itachukua miaka 15 kufikia Bilioni 9?

    Ilichukua mamia ya maelfu ya miaka kwa idadi ya watu duniani kukua hadi bilioni 1, kisha katika miaka 200 tu au zaidi, iliongezeka mara saba. Mnamo 2011, idadi ya watu Ulimwenguni ilifikia bilioni 7, ilikuwa karibu bilioni 7.9 mnamo 2021, na inatarajiwa kukua hadi karibu bilioni 8.5 mnamo 2030...
  18. Malalamiko ya magari ya Mwendokasi kwenda kwa kasi Kariakoo bila kujali kuna idadi kubwa ya watu

    Mdau wa Jamii Forums ameandika malalamiko yake kuhusu mabasi yaendayo haraka Jijini Dar es Salaam Magari ya Mwendokasi yanapita kwa kasi kubwa sana hapa Kariakoo, na nature ya Kariakoo ni watu wengi ndani ya huu mwezi magari hayo yameua zaidi ya watu wanne hapa kwenye Barabara inayotumiwa na...
  19. Ripoti: Idadi ya watu duniani inatarajiwa kufikia Bilioni 8.5 Mwaka 2030

    Kwa Mujibu wa Takwimu za Umoja wa Mataifa (UN) kufikia Novemba 2022, idadi ya Watu Duniani inakadiriwa kuwa Bilioni 8. Ongezeko la Watu katika Nchi nyingi zenye Uchumi wa Chini linakadiriwa kuongezeka mara mbili zaidi kati ya Mwaka 2022 na 2050 Kufikia Mwaka 2022, idadi ya Wanaume Duniani...
  20. India yaipiku China kwa idadi ya watu

    Nchi ya India imeipiku nchi ya China kwa population. Population: 1. India [emoji1128] 1,426,409,584 2. China [emoji630] 1,425,731,257 3. USA [emoji631] 339,688,556 4. Indonesia [emoji1129] 277,148,717 5. Pakistan [emoji1191] 239,693,115 6. Nigeria [emoji1184] 222,914,017 7. Brazil...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…