DAR: Rais Samia Suluhu Hassan amesema kila anapozunguka Mikoani changamoto ya kwanza anayokutana nayo ni upungufu wa Watumishi wa Afya na Elimu lakini hali hiyo inasababishwa na Sekta hizo kuhudumia Watu wengi na zina mambo mengi.
Akizungumza katika Kilele cha Kumbukizi ya 3 ya Urithi wa Mkapa...