Naona kila kona sasa hivi ni juu ya mafyongo ya teuzi.
Nakumbuka enzi za hayati Julius (Mwl) mtu alikuwa akipata taarifa za teuzi zake kupitia RTD na unakuta mtu yupo baa, nyumbani au kilabu cha Pombe ndio saa mbili usiku anasikia kuteuliwa kwake.
Ila nasikia enzi hizo ni idara ilikuwa kifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.