idara ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. boy lanugo

    Utaratibu wa kuwahamisha watumishi wa umma idara ya afya halmashauri ya mji Masasi mtwara kuwapeleka Sekta Binafsi uangaliwe upyaa

    Fikiria unawapelekea Vituo binafsi vijana wenye nguvu, kisa wanahoji kuhusu matumizi ya hela ambazo ki msingi wao ndio wanazikusanya? Kituo cha private unapeleka wafanyakazi zaidi ya wawili hapo nani ananyfaidi? Serikali inafaidikaje na hawa watumishi waliopo vituo hivi? Unamtoa Mfamasia...
  2. Mwanongwa

    BARAZA la Madiwani la halmashauri ya Nkasi mkoani Rukwa limewafukuza kazi watumishi wawili wa idara ya afya kwa utoro kazini

    Akitoa taarifa ya kufukuzwa kwa watumishi hao baada ya baraza hilo kujigeuza na kuwa kamati mwenyekiti wa halmashauri Pankrasi Maliyatabu aliwataja Watumishi hao kuwa ni Atanasi Ignas Mgunda Mteknolojia msaidizi na Japhet Masud Kimondo ambaye ni tabibu msaidizi. Amesema kuwa Watumishi hao...
  3. nditolo

    Wizara ya Afya na TAMISEMI mmetukosea sana Idara ya Afya Halmashauri ya Wilaya Kibiti

    Katika hali ya kushangaza wizara na TAMISEMI imetuletea DMO kutoka Mtama DC. DMO huyu alikuwa na tuhuma lukuki huko alikotoka na ikafikia madiwani kuazimia kumtoa madarakani lakini cha kushangaza mnatuletea huku. Ilishindikana kuteua Daktari yoyote ndani ya halmashauri yetu mpaka mkaamua...
  4. A

    DOKEZO Usumbufu wa kupata likizo HAI DC hasa idara ya Afya

    Naomba muongozo wa likizo kwa mtumishi wa umma umekaaje. Ni haki mtumishi kufutiwa likizo yake ya mwaka? Maana nimefanya kazi miezi 12 bila likizo nimehamia kutoka halmshauri nyingine ambako nilikuwa nachukua likizo zangu Desemba, nimefika huku wanasema mwezi huu hawaruhusu likizo na kunitaka...
  5. COARTEM

    Rais, Idara ya Afya OR-TAMISEMI ihamishie Wizara ya Afya chini ya Mganga Mkuu wa Serikali ili kuongeza Uwajibikaji, utakuja nishukuru baadae

    Lengo la Serikali kufanya ugatuaji wa Madaraka lilikuwa bora sana na kila mtu analipongeza. Kwa sasa mambo yanavyokwenda SEKTA ya Afya ni kama kuna Wizara Mbili tofauti za Afya, yaani WIZARA MAMA YA AFYA (MOH) na WIZARA NDOGO YA AFYA (Idara ya Afya OR-TAMISEMI). Ukienda Halmashauri na Mikoani...
  6. ManoWise

    SoC01 Afya-Rafiki yetu anaweza kuwa adui yetu mkubwa

    Karibu katika andiko hili la afya lenye kuelezea jinsi rafiki wa afya zetu anaweza kuwa adui mkubwa wa afya zetu. Je, ulishawahi kusikia juu ya usugu wa vimelea dhidi ya dawa ? Kama ulishawahi kusikia ama hujawahi ungana nami tujifunze zaidi. Usugu wa vimelea dhidi ya dawa ni Hali ya dawa...
  7. The wave

    Watumishi wengi wa Idara ya Afya Wilaya ya Magu hatujapanda madaraja

    Wapendwa nisalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Hapa Magu tumesumbuliwa sana na makatibu wa afya, tumejaza OPRAS mara mbilimbili, tukaombwa barua za ajira, za kuthibitishwa kazini na za kupanda madaraja kwa Mara ya mwisho. Vyote hivyo tuliwakabidhi, mwezi huu umepita patupu kwa wengi wetu...
  8. J

    Idara ya Afya Wilaya ya Sengerema imeshindwa kuweka watumishi zaidi ya 50 kwenye orodha ya kupanda madaraja

    Kiukweli ni hali ya kusikitisha sana idara ya afya kushindwa kuwaweka kwenye orodha ya watumishi wanaopaswa kupanda daraja zaid ya watu 50. Dhahama hii imewakumbuka baadhi watumishi wengi walioajiriwa kuanzia miaka ya 2015 na kurudi nyuma. Katika kufuatilia kwangu nimeona watumishi hawa sifa...
Back
Top Bottom