Wapendwa nisalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Hapa Magu tumesumbuliwa sana na makatibu wa afya, tumejaza OPRAS mara mbilimbili, tukaombwa barua za ajira, za kuthibitishwa kazini na za kupanda madaraja kwa Mara ya mwisho.
Vyote hivyo tuliwakabidhi, mwezi huu umepita patupu kwa wengi wetu...