Mimi NI mwalimu idara ya elimu Sekondari kwa zaidi ya miaka 12, Nilijiendeleza na kuhitimu kwa ngazi ya PGDE. Kabla ya ngazi hii, nilijiendeleza na kuhitimu shahada ya Uongozi na Utawala.
Kabla ya shahada hii ya Uongozi, nilikuwa na diploma ya ualimu. Je, naweza kuwa na vigezo kuhamia chuo...