idara ya usalama wa taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nehemia Kilave

    Baada ya Siwa kutoka idara ya Usalama, Rais Samia ututolee mawaziri wafuatao

    Binafsi nina Imani sana na Mombo Suleiman, baada ya uteuzi huu Rais Samia tutolee mawaziri wafuatao na Nchi itakwenda tu bila hawa :- 1 . January Makamba 2. Mwigulu Mchemba 3. Nape Nnauye Hakuna mtu mkubwa zaidi ya Tanzania, hawa ni zaidi mifumo ndani ya mfumo . Soma pia: Uteuzi: Abubakar...
  2. BARD AI

    Simulizi: Kisa na Mkasa wa Mauaji ya Jenerali Imran Kombe (Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa-TISS)

    Ni mauaji yaliyogubikwa na simulizi na hisia tofauti juu ya nini hasa kiini cha mauaji ya mkurugenzi mkuu wa zamani wa Idara ya Usalama wa Taifa nchini (TISS), Luteni Jenerali Imran Kombe aliyeuawa kwa kupigwa risasi Juni 30 mwaka 1996. Kumekuwepo na nadharia ya ulaji njama (conspiracy theory)...
  3. AfrixOne

    SoC03 Utawala bora na uwajibikaji ndio nguzo ya msingi katika kuleta amani na maendeleo ya taifa

    Utawala Bora ni dhana inayohusu utawala mzuri na wa haki, ukiwezesha ushiriki wa wananchi katika maamuzi ya serikali yao na kuimarisha mifumo ya kisheria na utawala. Inalenga kuendeleza utawala ulio wazi, uwajibikaji, na ufanisi katika kutoa huduma na maendeleo kwa jamii. Uwajibikaji ni jukumu...
  4. K

    SoC03 Ujasiri wa Afisa Tito utakaokumbukwa kwenye Idara ya Usalama wa Taifa

    Kama zilivyo taratibu za utendaji kazi wa Idara ya Usalama wa Taifa, uliletwa mpango wa kuongeza nguvu kazi katika Idara ya Usalama, hatua hii ilitokana na kushamiri kwa matukio ya ugaidi na ulanguzi wa dawa za kule vya Tanzania. Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa anamteua Afisa Temba na...
  5. HIMARS

    Waziri Simbachawene: Tunapozungumzia kinga kwa Usalama wa Taifa, tunazungumzia kinga dhidi ya Ugaidi

    Waziri George Simbachawene akitoa ufafanuzi kuhusu kinga kwa maafisa wa Idara ya Usalama wa Taifa kama ilivyoelezwa kwenye Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa wa Mwaka 2023. Tayari Bunge limepitisha muswada huo na sasa utapelekwa kwa Rais kwa ajili ya...
Back
Top Bottom