idara ya usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa yanayoendelea, napoteza imani na Idara ya Usalama wa Taifa, napoteza imani na CCM kama inaweza kutuvusha kiuchumi na kimaendeleo. Uzalendo hamna

    Inasikitisha kuona kwamba taifa linafanya mchezo wa maigizo yanayoligharimu taifa mabilioni ya dola na kumbe hawako serious. Tumejenga reli ya Umeme kwa gharama kubwa sana, halafu kutoka huko Kadogosa mkurugenzi wa shirika la reli anakuja na ajenda ya kununua vichwa vya dizeli. Tunafahamu...
  2. Kwanini Sheria za Tanzania zinalenga zaidi kulinda uovu badala ya kutetea Haki?

    Nchi yetu kadiri siku zinavyoenda mbele, imeshuhudia zikitungwa sheria nyingi za kuirudisha nchi nyuma, yaani sheria nyingi zimekuwa za kuwatesa na kuwaonea wananchi. Ni sheria za kuhalalisha uovu dhidi ya wananchi: 1. Tulikuwa na sheria ya vyama vya siasa, lakini baadaye ikabadilishwa hiyo...
  3. U

    Nabil Qaouk kiongozi mkuu idara ya usalama Hezbollah auawa akiwa kwenye handaki usiku huu kwa shambulizi la ndege za IDF Beirut

    wadau hamjamboni nyote? Kazi kusafisha magaidi inaendelea Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: IDF says senior Hezbollah official Nabil Qaouk killed in Beirut airstrike last night By Emanuel Fabian Follow Today, 11:43 am The IDF announces that senior Hezbollah...
  4. K

    Mkapa and Kikwete had one Director of TISS during their tenure. However, 4 Directors have been replaced within less than 2 years. What’s going on?

    President Samia Suluhu Hassan appointed Suleiman Mombo as the new Director General (DG) of the Tanzania Intelligence and Security Service (TISS). According to a statement from the Presidency, Mombo was sworn in on July 11, 2024, at the State House in Dar es Salaam. In recent years, frequent...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…