Nimepitia idara zilizoanzishwa na viongozi wake kwenye awamu hii ya Lissu makao makuu ya Chadema, ninahisi idara muhimu ya utafiti, sera ,mipango na teknolojia haipo au wamepitiwa tu. kiukweli idara hii ni muhimu ikawepo kwa vile kuelekea kushika dola suala la utafiti, sera na teknolojia za...