Ningependa kutoa ushauri wangu juu ya tathmini fupi nilioifanya kwa macho na kwa kutafakari juu ya baadhi ya idara mbalimbali hapa nchini.
1. Nikianza na TISS ningependekeza kuwe na idara mbili zenye kufanya kazi sawa na TISS bila ya kuwa ushilikiano wa aina yeyote wa kiutendaji katika...
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameonyesha kutoridhishwa na wasifu wa Bernard Kamillius Membe (69) kutogusia uwepo wake ndani ya chama hicho cha siasa.
Membe ambaye alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa alijiunga na ACT-Wazalendo Julai 15, 2020 akitokea chama tawala-...
Ndugu wana JF sina mengi na sitaki niwachoshe ila kuna Jambo moja naomba nipate ufafanuzi kutoka kwenu wajuvi wa idara hii ya usalama wa Taifa.
Tangu nikiwa mdogo nimekuwa nikisikia sikia uwepo wa idara hii na Kwa ufahamu mdogo nilionao ni kwamba ili mtu awe recruited na kuwa mtumishi wa idara...
Idara zote za usalama wa nchi kuna idara ya ndani ambayo jukumu lake kuu ni kumdhibiti sponsor. Kwa maslahi ya nchi.
Idara hii ni ndogo na ya hatari mno na wote waliomo ni unnyonimous hata kwa wao wenyewe! Jukumu lao ni la hatari pia kwasababu kunapotokea ulazima wa kumu eliminate sponsor...
Nikweli tumekuwa na uwezo wakusema huyu ni yule na yule ni yule ila kwa vile muundo wa idara za siri za serikali unavyo fanya kazi ni vigumu sana kusema huyu ni mwana idara ila unaweza kumuhisi japo huwezi kumjuwa huyu anafanya kazi ktk idara.
Idara ni nyeti sana na uwendeshaji wake ni nyeti...
Kimsingi, huyu mchungaji, waziwazi, anaandika na kuchochea chuki huko YouTube. Anaporomosha matusi na hakuna anayechukua hatua. Ofisi ya msajili wa taasisi za dini nadhani kwa Sasa inatakiwa iamke usingizini kabla taifa halijapata janga.
Hatukatai kwamba ana Uhuru wa kuabudu, lakini kufurumusha...
Serikali wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro, imesitisha shughuli zinazofanywa na shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na vijana la Kilimanjaro Youth Network baada ya kubainika kufundisha na kufungisha vijana ndoa za mapenzi ya jinsia moja tofauti na usajili wa shirika hilo.
Chanzo...
Linaweza kuwa swali lisiloeleweka haraka, Labda nianze na simulizi kwanza
Mwaka 1979 Tanzania iliingia kwenye vita na Uganda maarufu kama vita ya KAGERA. Mwaka 1995 nilikutana na mzee Mkumbi(marehemu) mmoja wa watu ambao walikaribia kabisa kupigana vita hiyo. Miongoni mwa mambo aliyonisimulia...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria pamoja na mambo mengine mengi imeshauri ujenzi wa kiwanda cha nyaraka za Serikali ukamilike kwa wakati, Serikali itoe waraka maalum kuelekeza idara zake zote kutumia ofisi ya mpiga chapa Mkuu wa Serikali kwa kazi zote zinazohusu uchapishaji...
Jana, raisi wa Jamhuri ya Muungano na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania kaeleza kwamba kuna mtu amekopa benki 5 au 6 tofauti za Tanzania na hajulikani alipo, yaani amekimbia na kutoka nchini.
Sasa huu ni mtihani kwa TISS, vyombo vya fedha, uhamiaji na wizara ya mambo ya...
Tunategemea mechi nzuri sana na yenye ushindani mkali leo hii kwakuwa zinakutana timu ambazo zote ziko vizuri kiufundi na zikiwa na wachezaji bora kwenye vikosi vyao, Monastir walimfunga yanga goli 2 kule Tunisia na aina ya magoli ambayo walifunga ni mipira ya kutengwa (set pieces), ni eneo...
Kauli ya Rais huyo wa zamani inakuja wakati Waendesha Mashtaka wakitarajiwa kukamilisha Mashtaka dhidi yake juu ya kutoa Rushwa ya Tsh. Milioni 300 ili kumnyamazisha Nyota wa Filamu za Ponografia asitoe ushahidi pamoja na kuwataka Wafuasi wake kuandamana kupinga Urais wa Joe Biden.
Trump...
Hii ni timu tishio kwenye kundi lao kwa sasa, inacheza direct football ikiwatumia wachezaji wao hatari wenye kasi na nguvu kusukuma mashambulizi mbele, ni timu yenye beki imara sana wakiongozwa na beki kijana bwana joash onyango, Na ilo limeonekana kwenye mechi zote mbili walizocheza na timu...
Usalama wa Taifa ni 'sector' kama zilivyo sector zingine.
Kikubwa ni vitu vitatu vinne vikubwa hivi:
1. Intelligence
2. Usiri
3. Uaminifu
4. Uwezo to make it happen
Mengine ni added advantage.
1. Tundu Lissu - eneo la sheria
2. Peter Kibatala - eneo la sheria
3. Chief-Mkwawa - eneo la Teck...
Ndugu zangu, binfasi natambua na kuheshimu kabisa hili suala la kufanya Mazoezi ya Utayari kwa sababu lina manufaa lakini bado napata shida sababu za kutangaza matukio hayo kwenye Vyombo vya Habari tena kwa kutaja idadi ya waathirika, aina ya Chombo kilichopata ajali na eneo.
Hivi hawa watu...
Kwa kuwa ni dhahiri kwamba Lissu hawezi kukaa Tanzania kwa zaidi ya mwezi, endapo CHADEMA itathubutu kumpa uenyekiti wa chama, itabidi baadhi ya idara na watumishi wapate uhamisho wa kuhamia Ubelgiji, vinginevyo baadhi ya shughuli zitakwama, na itabidi maafisa na myaraka ziwe zinaoanda ndege...
Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus katika mission zaidi ya 1000 akiwa na washirika wake!!!Mataifa mengine yanafeli wapi?
Wapendwa Salaam,
NMB Chalinze branch kumejawa na wafanyakazi wenye kiburi na majivuno hasa kwenye idara ya mikopo jambo ambalo linasababisha kero kubwa kwa wateja,
Hii branch unapoanza ku process mkopo utacheleweshwa kiasi ambacho utaona kabisa ni kama wanakuomba rushwa kiaina.Hizo nenda rudi...
Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma (MwanaFA) amekutana na Wakuu wote wa Idara na vitengo ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Muheza katika kikao alichokiitisha kwa wilayani humo.
Lengo kuu la kikao ilikua ni pamoja na kuweka mikakati ya pamoja na kujadili changamoto zinazojitokeza kwenye Majukumu...