idd amin dada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Utekaji na uuaji unaofanyika Tanzania ni sawa na kilichofanywa na vyombo vya dola Uganda dhidi ya wananchi wakati wa Idd Amin Dada

    Kwa wale wanaojua historia ya Uganda, watakuambia wazi kwamba utekaji na uuaji unaofanyika hivi sasa nchini Tanzania ni sawa kabisa na vyombo vya dola na usalama vilivyowafanyia wananchi wa Uganda wakati wa utawala wa dikteta Idd Amin Dada wa Uganda. Polisi na chombo kilichoitwa State Research...
  2. Dr. Idd Amin Dada aliyekuwa Rais wa Uganda. Na marais wetu na Doctorate za Kichawa

    Unashangaa? Wenye akili walikuwa wanazikataa.... Akina Nyerere waliamua waitwe Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na kushimiwa sana. Nyerere alikuwa akiona unajipendekeza sana kwake anakutolea mbavuni. Hakutaka kuitwa Dr.. Idd Amin alipewa Degree ya heshima ya Sheria na Chuo Kikuu Cha...
  3. Bashiru Ally Kakurwa wa awamu ya 5 ni sawa na Isaack Maliyamungu wa Idd Amin Dada, au Joseph Goebbels wa Hitler, ashughulikiwe vilivyo

    Maliyamungu na Goebbels walikuwa ni majinamizi kwenye nchi zao. Walikuwa ni majini yaliyoshindwa kutosheka na damu. Walikuwa majitu makatili sana, yakasababisha nchi zao ziharibike kabisa. Bila shaka baada ya wao kufa, walibaki wengine, na hata sisi tunaye, anajijua
  4. T

    Historia ya aliyekuwa Rais wa Uganda, Hayati Idd Amin Dada imepotoshwa sana. Uganda haitakuja kupata tena Rais mwenye misimamo kama yule

    Amani iwe nanyi Nimekuwa nikifuatilia sana historia na makala mbalimbali kuhusiana na maisha ya Mwamba wa Africa, Hayati Idd Amin Dada. Nilichokuja kugundua kuwa huyu jamaa alichukiwa sana na mabeberu kutokana na misimamo yake. Idd Amin alikuwa ni rais mwenye misimamo na uchungu na nchi yake ya...
  5. Hivi Ushawahi kuisikia hii Speech ya Idi Amin kwa Malkia wa Uingereza

    Idi Amin of Uganda (President’s SPEECH) For those of us who English is not their first language, read on!!Here is a speech delivered by Idi Amin at a sumptuous luncheon hosted By Queen Elizabeth II of Great Britain . “My majesty Mr. Queen Sir, horrible ministers and members of parliament...
  6. Matukio yasiyosahaulika aliyoyafanya dikteta Idd Amin Dada

    Moja kati ya Matukio ya kufedhehesha na ambayo hayatasahaulika aliyoyafanya Idd Amin kule Nchini Uganda ni lile tukio la kuwauwa Omba Omba vilema waliokuwa wakiishi mjini kampala baada ya kuwakusanya na kwenda kuwamwaga ndani ya mto Nile. Sababu kubwa ya Idd Amin kuwamwaga ombaomba hao ndani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…