PICHA YA ALI MSHAM NA IDDI FAIZ MAFUNGO NDANI YA NYUMBA YA KUMBUKIZI YA BABA WA TAIFA
Jana nimeeleza kazi ya Jaffar Mponda katika kutayarisha kipindi cha Nyerere Day.
Jaffar Mponda alikuwa keshamaliza kazi kubwa katika kupita kote alikopita Mwalimu Nyerere wakati wa kupigania uhuru wa...