idi amin

  1. Yoda

    Kash Patel, Mkurugenzi wa FBI ameanza kwa kuilisha matango pori seneti ya US kuhusu mauaji ya dikteta Idi Amin!

    Akiwa katika mahojiano yake ya kuthibitishwa kuwa Mkurugenzi mpya wa FBI, Kash Patel alipoanza kwa kuelezea historia ya familia yake alisema baba yake alikimbia Uganda ya Idi Amin, dikteta muuaji wa kimbari ambapo Wahindi laki tatu(300,000) waliuwawa kwasababu ya kuwa Wahindi kama yeye tu. Huu...
  2. mirindimo

    Mfahamu Isaac Maliyamungu (The Killing Machine) aliyekuwa askari mtiifu wa Idi Amin Dada

    Isaac Maliyamungu (The Killing Machine) alikuwa askari mtiifu wa Rais wa Uganda Idi Amin Dada, alipewa mamlaka ya kuua,kuteka,kutesa na kupoteza yeyote isipokuwa Amin na familia yake na alifanya hivo. Uzuri ni kwamba aliemlinda na yeye walikufa wote wakaiacha Uganda.
  3. 2 of Amerikaz most wanted

    Did you know that Idi Amin Dada sent love letter to Queen Elizabeth?

    " My majesty Mr. Queen Sir, horrible ministers and members of parliament, invented Guests, ladies under gentlemen. I hereby thank you completely… Mr. Queen, sir; and also what he has done for me and my fellow Uganda who come with me. We have really eaten very much. And we are fed up...
  4. Abtali mwerevu

    Mkasa wa Idi Amin na Wake Zake

    Na: Mwalimu Makoba 1 Hadithi ya Idi Amin na wake zake ni miongoni mwa hadithi za kusisimua, kuchekesha na zilizojaa ukatili. Kuwa na wake watano na wote wazuri ni msisimko wa aina yake. Kuwa na michepuko thelathini na watoto thelathini na nne (namba ya idadi ya watoto wa Idi Amin haijawahi...
  5. Chachu Ombara

    NADHARIA Ni kweli Rais Idi Amin Dada alikuwa mla nyama za watu?

    Wakati wa ukuaji wangu nilikuwa nasikia matendo mabaya sana kuhusu aliyekuwa Rais wa Uganda, Id Amini Dada, moja ya matendo hayo ni pamoja na ulaji wa nyama za watu hasa waliokuwa wapinzani wake wakubwa. Rejea Idi Amin Dada : The Ugandan Butcher & Murderous Cannibal Uvumi ulienea kwamba aliweka...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Kamwe Mwanaume hupaswi kujikombakomba

    KAMWE MWANAUME HUPASWI KUJIKOMBA KOMBA KAMA LOFA! Anaandika, Robert Heriel Vijana nisikieni! Nisikilizeni Kwa makini. Msisikie kelele za wapuuzi wanaotaka kuwapora hadhi zenu. Najua wengi wenu Kwa sasa labda mnalelewa upande wa kiukeni. Lakini kamwe hiyo isiwe sababu ya ninyi kuwa kama...
  7. B

    Thabo Mbeki: Idi Amin Was A Wise Man

    25 June 2022 Former president of South Africa, Thabo Mbeki recalls an encounter with president Idi Amin of Uganda during the struggles against apartheid in South Africa. He also recalls how he could have helped to prevent George Bush's war against Saddam Hussein in 2003. He tells more...
  8. GENTAMYCINE

    Yawezekana kama Mwanadamu Idi Amin alikuwa na Mapungufu yake ila nimegundua Afrika ya leo iliwahitaji akina Amin wengi ili kupiga hatua

    Marehemu Idi Amin Dada.... 1. Alichukia Upuuzi (Upumbavu) 2. Alichukia Uonevu na Dharau 3. Aliwapenda sana Wananchi wake 4. Hakuwa Mnafiki na wa Kujipendekeza 5. Hakuwa Muoga kuipigania nchi yake 6. Hakuwa Fisadi (Mwizi) hata kidogo 7. Alikuwa Mbabe ili Kulinda nchi yake Sasa wakati...
  9. lwambof07

    Tanzania - Uganda: Ramani ya Afrika Mashariki ingekuwa tofauti na ilivyo sasa iwapo Idi Amin angeshinda vita vya Kagera

    Vita vya Uganda-Tanzania, vinavyojulikana nchini Tanzania kama Vita vya Kagera na nchini Uganda kama vita vya Ukombozi vilihusisha Uganda na Tanzania kati ya Oktoba 1978 hadi Juni 1979. Matokeo yake yalikuwa kutimuliwa kwa Idi Amin madarakani na mwezi huu wa Juni ambapo vita viliisha...
  10. J

    Brigadier Ahmed Takadiri Kitete: Shujaa aliyepiganisha vita toka Kagera mpaka Koboko alikozaliwa Idi Amin

    Huyu ni mmoja kati ya makamanda walioongoza vita vya Kagera lakini siyo maarufu ktk vyombo vyetu vya habari, lakini ukisoma VITABU mbalimbali vinavyohusu VITA VYA KAGERA utagundua kwamba alikuwa na mchango mkubwa toka mwanzo mpaka mwisho wa vita, yaani toka Mutukula/Kagera mpaka Koboko kijiji...
Back
Top Bottom