idriss sultan

Moulay Idriss, Moulay Driss Zerhoun or simply Zerhoun (Arabic: مولاي إدريس زرهون) is a town in the Fès-Meknès region of northern Morocco, spread over two hills at the base of Mount Zerhoun. It is famous for being the site of the tomb of Idris I, the first major Islamic ruler of Morocco, after whom the town is named. It is located near Meknes and overlooks the ruins of Volubilis a few kilometers away.

View More On Wikipedia.org
  1. sinza pazuri

    Nani ni Brand ambassador bora Tanzania kwa sasa kati ya Babalevo, Idriss Sultan, Mwijaku na Joti?

    Nilikuwa natazama nominations ya tuzo fulani hapa Tanzania. Nikaona majina ya brand ambassadors wanaochuana kama mnavyoona kwenye picha. Kwa mtazamo wako unadhani ni nani bingwa hapa kwa kuitambulisha bidhaa kwa mteja na ikamvutia na kuitumia? Mimi kwa sasa nasimama na Babalevo.
  2. W

    Unamfahamu Idris Sultan kwa Uigizaji, Uchekeshaji au kama Mtangazaji?

    Mfahamu Idris Sultan Amezaliwa Januari 28, 1993 jijini Arusha. Anafahamika kama mwigizaji, Mchekeshaji na mtangazaji wa vipindi vya radio Safari yake ya mafanikio ilianza baada ya kushinda shindano la "Big Brother" mwaka 2014 na kuzawadiwa zaidi ya milioni Tshs. 514 akiwa na umri wa miaka 22...
Back
Top Bottom