Mfahamu Idris Sultan
Amezaliwa Januari 28, 1993 jijini Arusha. Anafahamika kama mwigizaji, Mchekeshaji na mtangazaji wa vipindi vya radio
Safari yake ya mafanikio ilianza baada ya kushinda shindano la "Big Brother" mwaka 2014 na kuzawadiwa zaidi ya milioni Tshs. 514 akiwa na umri wa miaka 22...