iebc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Aliyekuwa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) Wafula Chebukati amelazwa ICU

    Vyanzo vya taarifa nchini Kenya vinaeleza kuwa Wafula Chebukati yupo mahututi na amelezwa ICU == Familia ya Mwenyekiti mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati imethibitisha kuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi ICU katika hospitali moja ya Nairobi. Bw...
  2. M

    Jopo la kamati ya uteuzi wa Tume ya uchaguzi na Mipaka ya Kenya IEBC waapishwa

    Tujiulize wa jumbe wa Tume yetu ya Uchaguzi wanapatikana vipi? Wenzetu wapo mbali sana.
  3. Bunge la Kenya lapokea hoja ya kuwaondoa kazini Maafisa wa IEBC waliokataa ushindi wa Rais Ruto

    Bunge la Kitaifa limethibitisha kupokea mapingamizi 4 ya kuwafuta kazi Maafisa 4 wa Tume Huru ya Uchaguzi waliodai Matokeo ya Urais hayakuwa halali. Makamu Mwenyekiti wa Tume, Juliana Cherera, na Makamishna Francis Wanderi, Justus Nyang’aya na Irene Masit walipinga matokeo yaliyotangazwa na...
  4. President Ruto gazettes vacancies for IEBC Chair, 2 commissioners

    President William Ruto has gazetted three vacancies available at the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC); Chairperson and two other commissioners. This follows lapse of the tenure of IEBC Chair Wafula Chebukati as well as Commissioners Abdi Yakub Guliye and Molu Boya on 17th...
  5. Mke wa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuwa Katibu Mkuu?

    Mary Chebukati, mke wa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati, ni mmoja wa watu 477 ambao wameorodheshwa kwa nyadhifa 49 za Makatibu Wakuu (PS) na Tume ya Utumishi wa Umma (PSC). Baadhi ya Makatibu Wakuu waliohudumu chini ya utawala wa Rais wa zamani Uhuru...
  6. Chebukati: Mahakama ya Juu imethibitisha Haki Yetu

    Baada ya Rais Mteule William Ruto kuzungumza na wanahabari muda mchache uliopita, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) anazungumza na wanahabari muda huu Fuatilia hapa sasa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imesema hukumu ya Mahakama ya Juu ni ushahidi kwamba mchakato wa...
  7. IEBC: Jinsi tulivyohakikisha mfumo wetu una ulinzi wa kutodukuliwa

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetoa mchanganuo wa kina wa hatua ilizoweka ili kuhakikisha kuwa mifumo yake ililindwa dhidi ya wadukuzi na watu ambao hawajaidhinishwa. Katika majibu iliyowasilisha kwa Mahakama ya Juu Jumamosi, Agosti 27, IEBC kupitia mawakili wake ilishikilia kuwa...
  8. Kenya 2022 Tume ya Uchaguzi IEBC yamshutumu Raila Odinga kughushi nyaraka za ushahidi

    Wakili wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Mahat Somane, amesema kiongozi wa Azimio, Raila Odinga ameghushi nyaraka za ushahidi alizowasilisha mbele ya Mahakama Kuu katika ombi lake la Kupinga Matokeo ya Urais Katika mawasilisho yake leo Septemba 1,2022 Wakili Somane aliitaka Mahakama Kuu...
  9. Kenya 2022 Mahakama Kuu yamruhusu Odinga kukagua mifumo ya kuhifadhi taarifa za Uchaguzi ya IEBC

    Mahakama Kuu imeamuru Tume ya Uchaguzi IEBC kumpa Mgombea Urais Raila Odinga idhini ya kuzipitia na kuangalia Server zote za Kituo cha Taifa cha Kujumlisha Kura za Uchaguzi Mkuu. Pia Mahakama iliagiza Tume kumpa masanduku ya Kura kutoka vituo mbalimbali yafunguliwe kwa ajili ya ukaguzi...
  10. Kenya 2022 Chaguzi zilizoahirishwa Agosti 9 kufanyika leo

    Upigaji kura katika uchaguzi mdogo umeanza baada ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kusitisha zoezi hilo Agosti 9 kufuatia mkanganyiko wa vifaa vya kupigia kura Uchaguzi wa Ugavana unaendelea Mombasa na Kakamega, wa Wabunge katika Majimbo ya Kitui Vijijini, Kacheliba, Pokot Kusini na...
  11. Video: Tathmini ya Tundu Lissu ya Uchaguzi mkuu Kenya Agost 9, 2022; Ausifu na kueleza aliyoyaona na ambayo hakuyaona yakifanywa na tume - IEBC

    Niseme nini hasa? Tundu Lissu ni miongoni mwa wanaharakati, wanasheria na wanasiasa brilliant wanaojua kuelezea jambo kwa lugha rahisi, iliyonyooka na kueleweka na yeyote... Ni wazi kuwa huyu jamaa kasoma kweli na ameelimika pia na anajua mambo mengi sana... Hapa anaeleza maoni na mtazamo...
  12. B

    Ya NEC, ZEC au Jecha si ndiyo haya ya IEBC?

    Hizi ndiyo zile nchi sasa akiziita Trump lile jina letu pendwa. Mola akawalinde ma commissioner hawa waliosimama imara na katiba ya nchi. Yale yale ya kura pigeni mnakotaka ila washindi tutatangazwa sisi. "Chebukati names top govt officials who wanted to influence Presidential results...
  13. Kuna uwezekano Mkubwa Mahakama Kuu ikafuta ushindi wa Ruto-, Angalia makosa ya Kimahesabu yaliyofanywa na IEBC katika Video hii

    Ukisoma maoni ya Wakenya katika video hiyo sio team Kenya Kwanza wala team Azimio wote wamesikitika.Vilevile,ukifuatilia mijadala mingi ya watubalimbali huko Kenya inaonekana kuna shida kwenye Tume ya Uchaguzi.
  14. Interpol: Mwenyekiti IEBC alihongwa $3M

    Shirika la Polisi wa Kimataifa Interpol limetoa taarifa inayomuanika Mwenyekiti wa Tume Huru na Mipaka ya Uchaguzi Kenya (IEBC) Bwana Wafula Chebukati na makamishna wawili wa tume hiyo kuwa walipokea rushwa ya Dola Milioni Tatu za Kimarrekani ili kuidhinisha kampuni iyakayochapisha karatasi za...
  15. C

    Maafisa wa NEC wanaenda motoni moja kwa moja huku maafisa wa IEBC wakienda peponi

    Haya mambo msichukulie kirahisi. Si mmeona chebukati hajasema eti wananchi wanataka maji na blah blah nyingine, si mmeona usalama wao wa taifa hawaingilii lolote kuanzia ngazi za chini hadi juu wao kazi ni kusimamia usalama tu. Wale maafisa ukikutana nao peponi akina chebukati wala sio wa...
  16. F

    NEC igeni Mfano wa IEBC ya Kenya

    Tarehe 09.08.2022 taifa la Kenya lilifanya uchaguzi mkuu ili kupata viongozi mbalimbali wa taifa hilo. Upigaji kura ulifanyika vizuri kwa amani kwa mujibu wa waangalizi wa Kimataifa, kwa muktadha huo naipongeza IEBC yenyewe, serikali na police wa Kenya kwa kutekeleza majukumu yao vizuri. Jambo...
  17. R

    Kenya 2022 IEBC Act states thus

    SECOND SCHEDULE [Section 8, Act No. 1 of 2017, s. 31, Act No. 34 of 2017, s. 4.] PROVISIONS AS TO THE CONDUCT OF THE BUSINESS AND AFFAIRS OF THE COMMISSION 7. Unless a unanimous decision is reached, a decision on any matter before the Commission shall be by a majority of the members present...
  18. Kenya 2022 IEBC: William Ruto ameshinda Urais kwa 50.4% dhidi ya 48.8% za Raila Odinga

    Tume ya Uchaguzi Huru na Mipaka (IEBC) imemtangaza aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto (55) kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano kwa tiketi ya Chama cha UDA kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, 2022 Tume imesema Ruto amepata Kura 7,176,141 sawa na asilimia 50.49 huku akifuatiwa na Raila...
  19. Kenya 2022 Uchaguzi wa Kenya: Mkutano wavurugika kwa fujo, watu wapigana

    Inasikitisha sana wakuu
  20. Kenya 2022 Raila Odinga agoma kushiriki hafla ya IEBC kutangaza matokeo ya Urais kabla hajayaona na kujiridhisha

    Raila Odinga kwa sasa ndiye anasubiriwa kwenye ukumbi wa IEBC yatakapotangazwa matokeo ya mshindi wa Urais kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Ikiwa Mgombea wa Kenya Kwanza Coalition, Willium Ruto ameshawasili zaidi ya saa moja iliyopita, hali ni tofauti kwa mpinzani wake mkuu Raila Odinga ambaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…