ifutwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, wanaSimba mnasemaje Baada kufutwa kwa kadi nyekundu?

    Kama Kamati ya Saa 72 Imesema Ile kadi Nyekundu Ilikuwa Batili Unadhani Mwamuzi Alikuwa na Maana Gani Kutoa Kadi Nyekundu [emoji3480] Maana makolo walibisha kuhusu kubwa na marefa
  2. NHIF ifutwe,

    Hili shirika linahitaji kufutwa tuanzw upya. Hakuna wanacho kifanya.. unafutaje kifurushi cha 50K kwa watoto na unaweka cha 150K na mtu akilipia anataliwa kusubiri 3 months kuweza kupata hu
  3. Pendekezo: Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika Ifutwe rasmi

    Kwakuwa hakuna nchi inayoutwa Tanganyika, serikali isipoteze fedha kila mwaka kuandaa sherehe za uhuru wa nchi hewa. Pia wafanyakazi waende kazini kama kawaida maana kukaa nyumbani kwa kisingizio cha sikukuu ya uhuru wa nchi ambayo haipo ni matumizi mabaya ya rasilimali watu.
  4. Wanaharakati wa Haki za Wanawake Afrika Kusini wataka shoo ya Chris Brown ifutwe

    Wanaharakati wa kutetea haki za wanawake nchini Afrika Kusini kutoka Taasisi ya Women for Change wameanzisha kampeni ya kutaka kusitishwa kwa shoo ya staa wa RnB duniani, Chris Brown maarufu Breezy pnchini humo linalotarajiwa kufanika kwa siku mbili, Desemba 14 na 15, 2024. Wanaharakati hao...
  5. Robert Amsterdam afikiria kupeleka madai Jumuiya ya Madola ya kutaka Tanzania ifutwe wanachama kutokana na kunyamazia vitendo vya utekaji na mauaji .

    Mwanasheria wa kimataifa Robert Amsterdam apanga kufikisha madai kwenye Jumuiya ya Madola ya kuitaka jumuiya hiyo kuifuta uanachama Tanzania kutokana na mambo yanoendelea nchini hususan watu kutekwa, kuteswa na kuuliwa huku serikali inoongozwa na CCM ikikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote...
  6. KERO Sheria inayompa mamlaka makubwa DPP, kuwa apeleke au asipeleke kesi mahakamani, ni mbaya na inafaa ifutwe

    Miongoni mwa sheria mbovu sana zilizopo nchini ni inayompa mamlaka DPP ya kuweza kupeleka au kutopeleka kesi yoyote ya jinai, inayomkabili mwananchi yeyote na asitoe sababu za kutoipeleka kesi yoyote Ile mahakamani! Hii ni sheria mbovu sana, ambayo ilitungwa Kwa nia ya kuwafanya baadhi ya...
  7. S

    Nashauri mikopo ya elimu ya juu ifutwe, mbona wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo iweje wao?

    Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe, mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote? Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi? Nimeona Serikali inataka kuwapa mikopo na hawa diploma, hili nalo litakuwa kosa kubwa sana, yaani kujibebesha mzigo juu ya...
  8. Nashauri Naibu Waziri Mkuu atenguliwe na nafasi hiyo ifutwe kwa maslahi ya Taifa

    Habari, wanajamvi kutokana kutokua na tija na ufanisi kwa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu , ninamshauri Mh Rais atengue nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kwa mamlaka yake na katiba nafasi hiyo ifutwe kabisa na vyombo vya dola vielekezo macho yao katika mipaka hasa nchi jirani mpaka kama Rusumo...
  9. Tajiri wa HAMAS anayeishi kwa raha Qatar asema hadi Israel ifutwe ndio amani ipatikane

    Akataa Wapalestina wasipewe dola yao, (yaani two-state) msimamo wake ni mapigano yaendelee hadi Israel ifutwe, tatizo anayasema yote haya akiishi kwa raha na starehe huko Qatar wakati wana Gaza wanaendelea kuuawa na majengo yao kubomolewa kote. Hii iwafikie mashabiki wa maugaidi ya HAMAS, msio...
  10. Hongera Iran kwa kushtukia huu mchezo, ilikuwa ifutwe tukiiona, haya meli ya Marekani imeondoka

    Iran hapa wametumia akili sana kwa kukunja mkia na kunyamaza ndani licha ya kila jitihada kufanywa kuwashika hadi masharubu. Iran ilisema Israel wakiingia Gaza watakua wamevuka mstari, aisei Marekani wakaleta gumeli kama lote na kuweka pale na kusema mwenye kifua ajaribu hata kujikuna, Israel...
  11. Aliyekuwa waziri wa Hamas akiri yale mauaji yalikuwa kosa, yamesababisha Gaza ifutwe

    Asema Gaza imefutwa, imerudishwa nyuma miaka 200, hamna kitu pale hata watu wakirudi, amekiri lilikua kosa kubwa sana na kwamba uongozi wa HAMAS ni machizi wasiojielewa wala kuelewa chochote..... Aise kuua Wayahudi itabidi uwe tayari kufanyiziwa. =========== Former Hamas communications...
  12. Sheria ya kumhudumia Mwanamke ifutwe, kwa sasa Ajira zinatolewa kwa Wote bila upendeleo

    SHERIA YA KUMHUDUMIA MWANAMKE IFUTWE, KWA SASA AJIRA ZINATOLEWA KWA WOTE BILA UPENDELEO. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Sheria ya Mwanaume kumhudumia Mwanamke ifutwe. Sheria ya mke kuchukua mkopo kwa Jina la mumewe nayo ifutwe. Ni sheria zilizopitwa na wakati na zisizoendana na ulimwengu wa...
  13. Mjadala kupinga adhabu ya kifo nchini. TLS yajali utu, yaonesha njia. Adhabu hii ifutwe

    Wanabodi, https://www.youtube.com/live/clOESBBmMmI?si=WZKqn4KF5vTxrtGR Leo Tarehe 10 October ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga Adhabu ya Kifo. Niko hapa jengo la Wakili House kuwaletea live mjadala kuipinga adhabu ya kifo nchini, ulioandaliwa na Chama cha Mawakili Tanganyika, TLS. Kiukweli TLS...
  14. Sioni umuhimu wa kuendelea kuwa mamlaka ya vitambulisho taifa(NIDA) ifutwe tu! Imeshindwa kazi!

    Inasikitisha, kama si kuchekesha!. Hivi kweli tuko serious kama TAIFA!? Ama kila kitu kinafanywa kwa mazoea? TAIFA lenye watu zaidi ya watu mil 60, tunashindwa kitu kidogo kama hichi? Hii ni aibu! Ama huu ni mradi endelevu wa mkubwa fulani!? Mbona tunapiga sana kelele kuhusu mamlaka ya NIDA...
  15. Katazo la shule kutoendelea na masomo wakati wa likizo ni la kitoto sana. Pia likizo ndefu moja ifutwe

    Pongezi kwa shule zote zinazobakiza watoto kusoma wakati wa likizo. Kama nchi tunatakiwa kufurahia watoto wakisoma sana, wasome kadri wanavyoweza. Tangazo la kuzuia watoto kubaki shuleni kusoma wakati wa likizo lina lengo gani hasa? Maana ukiangalia siku wanazosoma watoto wa Tanzania kwa...
  16. Ofisi ya CAG ifutwe kama hatutaki kupambana na ufisadi

    Kwa maoni yangu yanayotokana na mashambulizi dhidi ya ofisis ya CAG, ni bora tuifute ofisi hiyo maana ni Kama inadharaulika. Naomba nijadili matukio mawili ambayo yamesabaisha nifikie hitimisho hilo. Nikiondoa tukio la CAG Assad kuitwa mbele ya kamati ya bunge kujieleza kipindi Cha ndugai...
  17. Mzee Pinda: Adhabu ya kifo ifutwe nchini

    Hoja ya kufutwa kwa adhabu ya kunyongwa inazidi kupata nguvu, baada ya Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda kuungana na wadau wengine kutaka adhabu hiyo ifutwe na badala yake iwe kifungo cha maisha. Mapendekezo ya Pinda yanaungana na wadau mbalimbali, wakiwamo mawakili, watetezi wa haki za...
  18. M

    Wizi unaofanywa Halmashauri ni matokeo ya madiwani wasiowajibika

    Halmashauri ni mali ya wananchi na wanamiliki Halmashauri kupitia Baraza la Madiwani. Halmshauri inasimamiwa moja kwa moja na Madiwani, inasikitisha sana Halmashauri ndipo pesa zinapigwa sana, huku wasimamizi wapo kila siku na wanaendelea kula posho za vikao. Tatizo la kuibiwa ni matokeo ya...
  19. Kwa huu upotevu wa pesa za umma tunaousikia huko bungeni, sioni umuhimu wa TAKUKURU ni Bora hii taasisi ifutwe!!

    Pesa za umma zinapigwa Kila siku!! Bungeni Huko Mwigulu anajitahidi kuonyesha hakuna matumizi mabaya lakini hali inaonyesha pesa zinatafunwa karibu kwenye sekta na miradi yote!! Kwa hali ilivyo sioni umuhimu wa hii taasisi ya TAKUKURU, naona wanakula mishahara TU!! Hatusikii kashikashi yoyote...
  20. Sheria ya Pasu Kwa Pasu ifutwe Kwa Hoja zifuatazo

    SHERIA YA PASU KWA PASU IFUTWE KWA HOJA ZIFUATAZO: Anaandika, Robert Heriel Kwa Dunia ya Haki Sawa hiyo sheria haijakaa vizuri Kabisa, Kwa Dunia hii yenye utapeli, dhulma, ubinafsi na Unyonyaji; sheria hiyo ipo haja ya kuipitia vinginevyo kizazi kijacho kitajikuta katika mazingira magumu sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…