Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kusema kuwa Wakazi wa Shamaliwa A na B wengi wao hawana huduma ya Maji kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa kutokana na wahusika wanaotengeneza Barabara wameharibu mabomba, ufafanuzi umetolewa na Waziri wa Maji Jumaa Aweso.
Waziri Aweso amesema “Ni sahihi kuwa...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mradi huu inajengwa na mkandarasi mchina aliyetokea Kenya.
Sasa huyu mchina amekuja na wakenya hapa mpaka wadada washika vibendera uelewe. Alikuwepo jamaa mmoja alikuwa akitoa taarif uhamiaji wakija wanapewa sabuni ya roho baadaye...
Mbunge Stanslaus Mabula: Lini Serikali Itakamilisha Mchakato wa Kuanzisha Tarafa za Igoma na Mkolani - Nyamagana
SERIKALI imesema kuwa Mchakato wa kuanzisha tarafa za Igoma na Mkolani Nyamagana ulijadiriwa na kuithinishwa katika ngazi ya Kata, Baraza la madiwani, Kamati ya Ushauri ya Wilaya na...
Hili ni bomba kubwa la maji safi linalotokea Igoma mpaka Mkolani, limeharibu sana Barabara, Wachina ambao ndio wahusika wa ujenzi wa Barabara hawana hata mpango wa kujenga njia ambazo sasa zimetengeneza mipasuko hadi kwenye nyumba za watu.
Hii video ni eneo la Mtakuja lipo Igoma kuelekea...
Habari za mida hii wakubwa?
Naomba kuleta ombi hili kwenu mwenye uwezo asaidie.
Kuna mama mmoja (kamshirikisha mume wake) hapa anahitaji fedha kiasi cha Tsh milioni 5 (mkopo), anaweka dhamana nyumba yake (hati ya nyumba ipo).
Mtaandikishana kwenye vyombo vya sheria na taratibu zote...
Pikipiki inauzwa 1,200,000 Tshs..
mawasiliano: 0713096076
Eneo: igoma mwanza
Aina ya Pikipiki: SAN LG
ENGINE SIZE: CC 150, 5 GEARS
HALI YA ENGINE: SAFI, HAINA TATIZO.
USAJILI: MC 324 CBT
INAPIGA BODA BODA, IGOMA MWANZA
Document zote zipo.
Hapa kuna barabara ambalo kimsingi linahudumia watu wengi, na kwa wengi sana limekuwa ni msaada mkubwa kwa kuwawezesha watu kufika Buhongwa bila ya ulazima wa kupita mjini kati.
Siku za hivi karibuni linatumika sana hata na magari makubwa na ukweli ni kwamba litakuwa ni msaada mkubwa sana...
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri
Kiukweli inaskikitisha kuonana barabara muhimu kama hii ya kuķtoka buhongwa mpk igoma ikiwa imetelekezwa. Mbunge wetu wa nyamagana nae yupo kimya tu. Barabara ina mahandaki hatari sehemu ya kwenda kwa dakika 5 unatumia nusa saa wanateseka wa mama...
Kwako Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Meya na Naibu Meya wa Jiji la Mwanza, Mkurugenzi TARURA mpaka mamla husika hapa jijini Mwanza.
Kwako Rais wetu mpendwa Dr. John Magufuli. Rais wangu kipenzi cha Watanzania watajwa hapo juu wameifumbia macho BARABARA ya IGOMA Kishiri, ambacho ni kipande kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.