igoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1.  Waziri Aweso: TARURA na MWAUWASA wanafanya mchakato wa kurejesha maji kwa Wakazi wa Shamaliwa - Mwanza

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kusema kuwa Wakazi wa Shamaliwa A na B wengi wao hawana huduma ya Maji kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa kutokana na wahusika wanaotengeneza Barabara wameharibu mabomba, ufafanuzi umetolewa na Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Waziri Aweso amesema “Ni sahihi kuwa...
  2. Mradi wa Igoma 2 Buhongwa na Wakenya

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mradi huu inajengwa na mkandarasi mchina aliyetokea Kenya. Sasa huyu mchina amekuja na wakenya hapa mpaka wadada washika vibendera uelewe. Alikuwepo jamaa mmoja alikuwa akitoa taarif uhamiaji wakija wanapewa sabuni ya roho baadaye...
  3. Mbunge Stanslaus Mabula: Lini Serikali Itakamilisha Mchakato wa Kuanzisha Tarafa za Igoma na Mkolani - Nyamagana

    Mbunge Stanslaus Mabula: Lini Serikali Itakamilisha Mchakato wa Kuanzisha Tarafa za Igoma na Mkolani - Nyamagana SERIKALI imesema kuwa Mchakato wa kuanzisha tarafa za Igoma na Mkolani Nyamagana ulijadiriwa na kuithinishwa katika ngazi ya Kata, Baraza la madiwani, Kamati ya Ushauri ya Wilaya na...
  4. S

    House4Rent Tunapangisha nyumba na kuuza viwanja pamoja na nyumba Mwanza

    Chumba na sebule inapangishwa KWA ELFU 25 TU. IGOMA MTAA WA KAKEBE. UMEME NA MAJI VIPO. DALALI 0683011003
  5. Bomba hili eneo la Mtaa wa Mtakuja na Igoma ni hatarishi kwa watu

    Hili ni bomba kubwa la maji safi linalotokea Igoma mpaka Mkolani, limeharibu sana Barabara, Wachina ambao ndio wahusika wa ujenzi wa Barabara hawana hata mpango wa kujenga njia ambazo sasa zimetengeneza mipasuko hadi kwenye nyumba za watu. Hii video ni eneo la Mtakuja lipo Igoma kuelekea...
  6. Niko mwanza maeneo ya igoma mwenye nguruwe wadogo wa kufuga anauza anicheki

    Niko mwanza maeneo ya igoma mwenye nguruwe wadogo wa kufuga anauza anicheki
  7. Igoma - Mwanza: Jipatie king'amuzi cha Azam kwa 120,900 tu

    Habari za kuamka? Habari za mchana? Habari za jioni... Nauza Azam decoder hio kwa 120,900 tu. Igoma Mwanza. 0744 033 555
  8. Unahitajika mkopo wa Tsh 5 mil. Dhamana ni nyumba

    Habari za mida hii wakubwa? Naomba kuleta ombi hili kwenu mwenye uwezo asaidie. Kuna mama mmoja (kamshirikisha mume wake) hapa anahitaji fedha kiasi cha Tsh milioni 5 (mkopo), anaweka dhamana nyumba yake (hati ya nyumba ipo). Mtaandikishana kwenye vyombo vya sheria na taratibu zote...
  9. INAUZWA Igoma Mwanza: Kwa milioni 1 tu, unapata San LG 125

    SAN LG 125 GIA 5 IPO MWANZA IGOMA HAINA SHIDA YOYOTE MILIONI 1 TU 0713096076
  10. INAUZWA Igoma Mwanza: Pikipiki San LG inauzwa

    Pikipiki inauzwa 1,200,000 Tshs.. mawasiliano: 0713096076 Eneo: igoma mwanza Aina ya Pikipiki: SAN LG ENGINE SIZE: CC 150, 5 GEARS HALI YA ENGINE: SAFI, HAINA TATIZO. USAJILI: MC 324 CBT INAPIGA BODA BODA, IGOMA MWANZA Document zote zipo.
  11. Igoma - Kishiri - Buhongwa

    Hapa kuna barabara ambalo kimsingi linahudumia watu wengi, na kwa wengi sana limekuwa ni msaada mkubwa kwa kuwawezesha watu kufika Buhongwa bila ya ulazima wa kupita mjini kati. Siku za hivi karibuni linatumika sana hata na magari makubwa na ukweli ni kwamba litakuwa ni msaada mkubwa sana...
  12. Barabara ya Buhongwa - Sahwa - Kishiri - Igoma imetelekezwa

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri Kiukweli inaskikitisha kuonana barabara muhimu kama hii ya kuķtoka buhongwa mpk igoma ikiwa imetelekezwa. Mbunge wetu wa nyamagana nae yupo kimya tu. Barabara ina mahandaki hatari sehemu ya kwenda kwa dakika 5 unatumia nusa saa wanateseka wa mama...
  13. Barabara ya Igoma - Kishiri

    Kwako Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Meya na Naibu Meya wa Jiji la Mwanza, Mkurugenzi TARURA mpaka mamla husika hapa jijini Mwanza. Kwako Rais wetu mpendwa Dr. John Magufuli. Rais wangu kipenzi cha Watanzania watajwa hapo juu wameifumbia macho BARABARA ya IGOMA Kishiri, ambacho ni kipande kidogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…