Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura, amesema kuwa Jeshi la Polisi limejipanga vyema kuhakikisha usalama wakati wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Akizungumza katika mkutano na Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa, IGP Wambura alieleza kuwa uchaguzi wa...
Wakuu,
Jeshi la Polisi Tanzania chini ya IGP Wambura limetangaza mabadiliko madogo kwenye safu za uongozi wa Kikosi cha Usalama Barabarani. Katika mabadiliko hayo:
Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Ramadhani Ng’anzi amehamishwa kutoka Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Novemba 27,2024 amepiga kura kuwachagua viongozi wa serikali za Mitaa.
IGP Wambura amepiga kura Jijini Dar es salaam ambapo amewasisitiza wananchi pamoja na askari kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba.
MAPYA YAIBUKA MOSHI, NI BAADA YA MBUNGE KUSHITAKI BENDI YA POLISI
Katika hali isiyo ya kawaida, Priscuss Tarimo ambaye ni Mbunge wa jimbo la Moshi Mjini amewashtaki watumbuizaji wa bendi ya Chuo cha Polisi Moshi (CCP) ambayo ilikuwa inatumbuiza kwenye sherehe ya Kumuaga binti wa Tajiri wa Moshi...
Hali ya raia kuzuia polisi kukamata watu nchini Tanzania ni jambo linaloweza kuashiria mabadiliko makubwa katika mfumo wa utawala na usalama wa raia.
Katika kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na matukio kadhaa ambapo wananchi wamejitokeza kuzuia polisi wasiwakamate watu, ikiwemo waandamanaji...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar es salaam.
Hii ni baada ya kupita siku chache alipotoa hotuba nzito sana katika...
Kwanini nauliza hivyo?
1. Yale yale yaliyokuwa yanatokea wakati wa Siro ndiyo hayo hayo yanatokea wakati wa Wambura eg..kupoteza, kutekwa watu, kubambika kesi etc etc. Ben Saanane, Sativa and, you mention them...
2. Muundo/utendaji wa jeshi la polisi n huo huo, tulitegemea kutakuwa na...
Wakuu salam,
Naamini wote mpaka sasa tufahamu kuhusu suala la Sativa kutekwa mpaka kupatikana jana akiwa ameteswa sana, pamoja na maelezo yake ya awali kwa polisi.
Edga Mwakabela (Sativa)
Tulitegemea kuwe na uwajibikaji kutoka kwenye vyombo vya usalama kwa Muliro, IGP na hata Waziri wa Mambo...
edga mwakabela
freedom of expression
igpcamilluswambura
jeshi la polisi tanzania
kukosoa serikali
sativa apatikana katavi
simon sirro
uhuru wa kutoa maoni
watu wasiyojulikana
wizara mambo ya ndani
Taarifa kutoka huko Tunduru mkoani Ruvuma zinadai kwamba Sheikhe afahamikae kwa jina la Abdulrazack Mohamed alikamatwa na watu wanaodhaniwa kuwa polisi (kutokana na mavazi yao) mnamo tarehe 7 mwezi March 2024 na kupelekwa kusikojulikana.
Ndugu walivofanya ufuatiliaji kwenye vituo vyote vya...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe na Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar.
Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga anakwenda kuwa...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amefanya uhamisho wa baadhi ya Makamanda wa mikoa kwa lengo la kuboresha ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya Jeshi la Polisi.
Wakuu,
Akihojiwa na waandishi wa habari siku chache baada ya kuachiliwa na polisi kwa dhamana, wakili Mwabukusi amenukuliwa akisema."
Nataka nimwambie wazi IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda,toka kwenye bunduki njoo jukwaani." Hoja zetu za kisiasa...
Haya mambo zamani hayakuwepo ila siku hizi unaongezeka kwa kasi.
Leo asubuhi maeneo ya Tegeta tumekalishwa foleni karibu dk 45 kusubiri msafara wa boss wa polisi uliokuwa na magari matatu.
Shughulli nyingi za kiuchumi na kijamii zilisimama! Hii sio sawa kabisa.
Hii kitu tatizo nini au mishahara wanayolipwa ukilinganisha na vyombo vingine vya ulinzi hela ni kidogo au inakuaje?
Hivi kutoka Tabora mjini mpaka Nzenga check point zipo Zaid ya Tatu na zote hice wanatoa pesa.
But hili ni janga wahusika mlitazame kama dharula halafu RUSHWA yenyewe ni buku 2.
Amekuja Wambura, lakini hajafanya any positive development katika jeshi la polisi kwa utendaji wake unaolalamikiwa na watanzania wote! Mama Samia kwanini alimbadilisha Siro?
Walio wengi walitarajia mabadiliko katika utendaji wa polisi particularly katika kuzingatia haki za binadamu wanapofanya...
Salaam Wakuu
Hatuwezi kukubali ndugu zetu waendelee kufa kimafia halafu watu wanazusha Story ya kutrend.
Polisi wa Kawe waende pale Mbezi kwa Marehemu wazungushie Utepe na wawachukue maelezo familia ya Masanja.
Pia Mke wa Marehemu akamatwe na ahojiwe.
Mtashangaa Matokeo yake.
Polisi wana...
Emmanuel Kalule
20.07.2022
Leo mapema majira ya saa nane usiku, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ndani ya Jeshi ya Polisi nchini kwa kumteua aliyekua Kamishna wa Polisi Camillus Wambura kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu mpya wa Jeshi la polisi nchini (IGP).
IGP Wambura akichukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.