igp mwanamke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Tumewahi kuwa na IGP and DCI kutoka Zanzibar? Je vyeo hivi vimewahi kushikwa na mwanamke?

    Kwa wale mnaofahamu historia ya jeshi la Polisi. Pamewahi kutokea Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai au IGP kutoka Zanzibar? Je, jeshi la polisi Tanzania limewahi kuwa na Mwanamke mwenye uwezo (capacity) ya kuwa IGP au DCI? Kuhusu wizara ya Mambo ya Ndani, imewahi kuongozwa na Waziri mwanamke?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…