Eneo kubwa linalo milikiwa na Serikali lililopo Kwembe/luguruni lilitolewa au lilitengwa na Serikali ya awamu ya 5 kwajili ya ujenzi wa Arena baada ya Mbunge wa eneo hilo kuliomba.
sasa leo hii tunasikia Arena itajengwa Kawe?!! kulikoni?
mboni wilaya ya Ubungo inatengwa kupata miradi ya...
Moja ya maombi ninayoomba kila Leo kwa Mungu ni kuipa nguvu kamati Mhe. Rais aliyomwagiza waziri Mkuu kuundwa ili kuchuguza uimara na ubora wa majengo ya kariakoo na Mhe.Rais aligusia kwamba hawatasita kubomoa majengo yote kariakoo kama kamati ikishauri hivyo.
Ombi hili kwa Mungu linatokana na...
TANRODS ISIMAMIE MIRADI YA CSR IJENGWE KWA KIWANGO
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameuagiza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuwasimamia Wakandarasi wote wanaojenga na kukarabati miradi ya maendeleo kwa jamii (CSR) hapa nchini ili iweze kukamilika kwa ubora.
Mhandisi...
MIRADI YA DHARURA IJENGWE KWA KASI NA UBORA - WAZIRI ULEGA.
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta kuhakikisha miradi ya dharura inajengwa kwa viwango, kasi na kuzingatia thamani ya fedha.
Ameyasema hayo leo katika...
Nitashukuru mwenye kunisaidia video au link o zenye maudhui ya vita aidha body cam au za drone au ambazo ziko filmed kuonyesha mapigano baina ya pande mbili zote Kwa pamoja.. YouTube zipo hasa za vita gaza na huko Ukraine ila tatizo zinaonyesha upande mmoja tu mimi nataka video iwe zinaonyesha...
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu wa kina wa barabara za Mwanza Mjini hadi Round about ya Usagara na barabara ya Mwanza Mjini hadi Igoma ili zipewe kipaumbele katika bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya kujenga barabara ya njia nne...
MOMBA: HALITETE, SHULE SHIKIZI MAZINDE; MBUNGE CONDESTER APIGWA BUTWAA
MBUNGE wa Momba Mhe. Condester Sichalwe ameshangazwa kuona shule shikizi Mazinde iliyopo kijiji cha Masanyita kata ya Mpapa Halmashauri ya Momba iliyojengwa mwaka wa fedha 2022-2023 kwa gharama ya shilingi milioni 40 kujaa...
Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.
Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti...
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Kijiji cha Kwa Msisi Mkoani Tanga ambapo imeombwa kwanza hela ya Tambiko mil 21 ili ujenzi wa barabara unaohusisha ukataji wa miti uendelee.
Tambiko la pili litafanyika baada ya barabara hiyo kukamilika ambapo wazee watafanya dua maalum. Juhudi za Mkuu wa Wilaya...
Hello wanajamvi, great thinkers.
Wiki chache zilizopita kuna babu yangu upande wa mama alifariki
Katika mali alizoacha kuna nyumba na warithi ni watoto zake akiwemo mama yangu, mama wadogo zangu wawili na wajomba zangu wawili.
Sasa tatizo linapokuja ni kwamba hakuna anaetaka kurithi hio...
Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa, amesema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi.
Silaa ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliowashirikisha wananchi wa Mzinga Ukonga jijini Dar es Salaam wakati akizungumzia...
Tukubaliane tusikubaliane Rais Samia kashakubali mradi wa Bagamoyo kwa masharti aliyoyakataa Magufuli na ambayo Kikwete aliyakubali. Kwa hivi sasa ni kiini macho kinafanyika. Watatumwa watu kimbelembele kuendesha mazungumzo.
Nionavyo mimi viongozi wabinafsi wamejaa kwenye ranks za CCM na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.