Vijana wengi wa CCM tulisahau kuwa ili uonekane unafanya kazi lazima tupambane na upinzani mpaka sasa hatuoni kitu gani kinachonachokifanya.
Msimu uliopita wa 2015 kulikuwa na ajira za chama vijana wengi waliajiriwa kupitia kuwa makada. Kuna watu wanachama wengi waliajiriwa kupitia mfumo wa...
Msoga sio ikulu.
Kule Tanga kwa mzee mkapa sio ikulu
Musoma kwa baba wa taifa sio ikulu
Chato pia sio ikulu.
Mazingira ya ikulu ni ya kipekee sana , kunaninvestiment nyingi sana zimefanyika na kila facility ipo vizuri.
Wengi tumeona mazingira ambayo waziri wa sheria aliapishwa ( sijui kama...
Ukigombea Urais unaweza ukapata au usipate, na wakati unagombea unatokea kwenye nyumba yako ambayo naamini haizidi vyumba vitano vya kulala.
Ukipata Urais huwa Serikali inakwenda kuyajenga makazi yako ku accommodate facilities zote za ulinzi na makazi ya walinzi? Au kila kiongozi ufanya maamuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.