Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, Machi 3, 2025 amefuturisha watoto yatima na watoto wenye mahitaji Maalum, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Pia, Rais Samia amepata fursa ya kuzungumza na watoto hao.
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi leo tarehe 04 Oktoba 2024, jijini Dar es Salaam, amesema kuwa malalamiko ya walipa kodi yanatokana na ukweli kwamba kodi ni jambo gumu na mara nyingi si rahisi kukubalika. Amesema kuwa ni kawaida kwa mtu kuwa tayari...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jenista Mhagama kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Aprili, 2023.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao Maalum cha kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa leo tarehe 01 April 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ampokea na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kenya William Somoei Ruto Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Oktoba, 2022.
Mambo yaliyojadiliwa ni pamoja na;
Rais Samia Suluhu Hassan
Kukuza na kuimairisha uhusiano kati ya...
Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo
Tutarajie tamko la namna...
Ikulu ya Magogoni leo Mchana
Rais Samia Suluhu Hassani leo Jumatano Agosti 25 amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mheshimiwa Raila Odinga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anawaapisha Viongozi mbalimbali aliowateua wakiwemo;
1. Prof. Elisante Ole Gabriel kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania
2. Balozi Mteule, Lt. Jen. Yakub Hassan Mohamed kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uturuki
3. Balozi Mteule...
Vijana wengi wa CCM tulisahau kuwa ili uonekane unafanya kazi lazima tupambane na upinzani mpaka sasa hatuoni kitu gani kinachonachokifanya.
Msimu uliopita wa 2015 kulikuwa na ajira za chama vijana wengi waliajiriwa kupitia kuwa makada. Kuna watu wanachama wengi waliajiriwa kupitia mfumo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.