NDG. EDNA AWAKARIBISHA WANACHI KATIKA UZINDUZI WA IKULU YA CHAMWINO DODOMA MEI 20, 2023.
[emoji625]UVCCM HQ, DODOMA
[emoji1001] Mei 19, 2023.
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Ndg. Edna Lameck, kwa niaba ya Umoja wa Vijana wa CCM chini ya Uongozi wa Ndg. Mohammed Ali KAWAIDA...