Wakuu,
Itoshe kusema kwa tabia za kiafrika zinafanana.
Ikulu ya Kenya, Ofisi ya Naibu Rais na Ofisi ya Mkuu wa Baraza la Mawaziri, zimeongezewa KSh5 bilioni (takriban TSh99 bilioni) za ziada kwa ajili ya safari, burudani, na malipo ya mishahara.
Kwa mujibu wa bajeti ya nyongeza...
Ikulu ya Rais wa Kenya William Ruto imwekwa chininya ulinzi mkali na hakuna mtua nayeruhusiwa kusogea karibu na eneo hilo kufuatia maandamano yanayoendelea nchini humo leo tarehe Juni 27, 2024
Licha ya Rais William Ruto kutangaza kusitisha kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha siku ya Juni 26...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.