https://www.youtube.com/watch?v=Gr7yLxJrtRE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kumpokea Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, leo Juni 22, 2024, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais Embaló ana ziara ya kikazi kwa siku mbili nchini, ikiwa ni...