Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mwenyeji wa Rais wa Hungary, Katalin Novak katika Ikulu ya Dar es Salaam, leo Julai 18, 2023.
Rais Katalin Novak yupo katika ziara ya siku nne Nchini Tanzania kuanzia Julai 17 hadi Julai 20, 2023, updates ya kinachoendelea Ikulu ya Magogoni...