ilala boma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. V

    NAUZA MABALO YA MTUMBA NAPATIKANA ILALA BOMA 0657710078

    Karibuni sana vunjabeimtumbagrade1 wauzaji wa balo za mtumba grade 1 tuna balo za nguo aina zote Leo nawapa Bei ya nguo baadhi tu ✅Jeans kiume 450000 kike 320000 PC 80 mpk 90 ✅nguo ya mtoto 400000 PC 350 ✅ gauni 400000 PC 130 ✅blouse 380000 pc 280 ✅shati 900000 PC 200 ✅viatu 250 PC 40 ✅ school...
  2. A

    KERO Mamlaka na Watu wa Afya ya Mazingira mpo wapi kusimamia Soko la Vyakula Ilala Boma jijini Dar?

    Hii ni picha ya watu Wanafanyabiashara juu ya maji taka yanayosambaa eneo hilo la soko. Kwa Hali hii tutapona milipuko ya magonjwa? Au tunasubiri mlipuko uanze kisha ziundwe Kamati kufuatilia? Kipindupindu kikianza kinaharibu shughuli zote na uchumi wa mtu mmoja mpaka familia.
  3. P

    Barabara ya Ilala Boma iwekwe mataa ya muda, ni hatari kwa watembea kwa miguu na wenye magari pia

    Wakuu, Barabara ya Ilala Boma eneo lile ambako ni karibu na karume kulikuwa na mataa ya kuongozea magari mwanzo, lakini baada ya kuanza ujenzi wa mwendokasi mataa hayo yalitolewa. Sasa hivi kumekuwa vurugu mechi, ni hatari kwa wenye vyombo vya moto lakini ni hatari zaidi kwa watembea kwa...
  4. B

    Ilala Boma Shule ya msingi 1987 tukutane hapa

    Naam nawasalimu wahenga wenzangu tuliomaliza elimu ya msingi mwaka 1987 Ilala Boma hapa DSM. Karibuni tukumbushane enzi zile za mwalimu Mkuu Lutambi (Kamchape), mzee Mangosongo, mwalimu Mang'enya, mwalimu Sanga na wengineo. Tumeshakula chumvi nyingi sasa!
  5. Hamadee

    Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba

    HABARI WANAJAMVI, Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba za nguo mbalimbali hapa Tanzania na nje. Connection naomba na kwa ushauri pia nipo tayari kupokea kwasababu ndiyo nataka kuanza hii biashara
Back
Top Bottom