Naam nawasalimu wahenga wenzangu tuliomaliza elimu ya msingi mwaka 1987 Ilala Boma hapa DSM.
Karibuni tukumbushane enzi zile za mwalimu Mkuu Lutambi (Kamchape), mzee Mangosongo, mwalimu Mang'enya, mwalimu Sanga na wengineo.
Tumeshakula chumvi nyingi sasa!