Mnamo Siku Ya Jana, Nilifanikiwa Kutembelea Ofisi Ya Mkuu wa Wilaya Ya Ilala, Mhe. Edward Jonas Mpogolo, Ili Kujua Machache Kuhusu Maendeleo Ya Wilaya Yetu Ya Ilala. Nilifanikiwa Kutambua Uendelezwaji na Uanzishwaji wa Miradi Mbalimbali Ya Wilaya Ya Ilala, Zikiwemo Shule, Vituo Vya Afya...