ilala

Ilala is an ancient town in Irepodun LGA, Kwara State. It is situated in the northeastern region of Kwara State and ruled by a monarch usually referred to as Aala of Ilala. The present Aala of Ilala is Oba Abd'Wahab Osuolale Adeyemi, Oyebamire II.

View More On Wikipedia.org
  1. Dar na wakazi wake: wachaga > kimara, Wakurya > kitunda, wahaya > sinza, wapemba > ilala na kigamboni, wapi tumepaacha ?

    Dar na wakazi wake: wachaga > kimara, wahaya > sinza Wakurya > kitunda wapemba > ilala na kigamboni waarabu > kariakoo wapi tumesahau ??
  2. Mitaa ya Gongo la Mboto kituo cha Mzambarauni mpaka kituo kipya ndio makao makuu ya kunguru hapa wilaya ya Ilala

    Kwa wakazi wa Gongo la Mboto mitaa ya Mzambarauni kuna kunguru wengi sana kila siku jioni huwa wanakusanyika wakitoka kwenye mahangaiko ya kila siku sasa sijajua kama wakazi wa Gomz wanafuga kunguru hawa au wameamua tu kuchangua pale ndo pawe makao makuu kwa upande wa Ilala.
  3. Dar: Mchina adaiwa kumuua mwenzake na kumjeruhi mwingine kwa risasi, chanzo ugomvi wa mapenzi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtafuta mtuhumiwa ZHENG s/o LINGYAO, 42, raia wa China Mkazi wa Dar es Salaam kwa tuhuma za kumuua FU s/o NANNAN, 26, Raia wa China, mfanyabiashara na mkazi wa Kalenga Ilala Dar es salaam. Tukio hilo limetokea tarehe 11/06/2022, Mtaa wa Kalenga...
  4. K

    Walimu wa Shule ya Sekondari Ilala, kwanini mnauza notes kwa wanafunzi?

    Walimu wa Biology na Chemistry wa Shule ya sekondari ya Ilala, kwanini mnawauzia wanafunzi notes badala ya kuwapa bure? Wenyewe mnaita vitini mnauza Tsh. 200/= kwa 500/=, nyie mnatutia hasara wazazi kulipia kitu ambachoo mlitakiwa kuwapa bure na ni wajibu wenu kukuandika notes ubaoni ili...
  5. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Ilala (CCM) na Mbunge, acheni vurugu na kuharibu chama

    CCM kiko katika chaguzi zake za ndani (kuanzia ngazi za mashinq, Malawi, Kata, Wilaya, na Mikoa) nchi nzima katika kipindi hiki. Ni Utaratibu mzuri wa Chama Tawala uliojiwekea ambapo wanachama wake katika maeneo husika hutumia fursa hii ya kidemokrasia ndani ya chama kugombea nafasi mbalimbali...
  6. Mdude Chadema amtembelea Mbatia. Ampatia kitabu chake Miaka mitano ya mateso katika harakati. Ampomgeza kupangua mapinduzi

    Huyu Mdude yupo kiharakati kila mara. Mbatia nae anasema Aluta continua. Hapa ni harakati tupu
  7. DC Ludigija: Kuna Meli inavujisha mafuta baharini, Watu wa Dar msinunue mafuta ya kwenye Madumu, yamechotwa Baharini

    Mkuu wa wilaya ya Ilala Ngw'ilabuzu Ndatwa Ludigija ametahadharisha Wananchi wa Dar kwamba Wasinunue mafuta ya kwenye Madumu. Kasema Pwani ya Dar kuna Meli inamwaga mafuta, fukwe zote zimejaa mafuta ambayo bado haijafahamika, hivyo watu wanachota na kwenda kuuza Mtaani. Mafuta haya yanaweza...
  8. Wamachinga wauza Juice Karume Ilala

    Hivi jamani kuna mtu ameshawahi kupita maeneo ya Karume sokoni opposite na TFF akakutana na wale jamaa wanaouza Juice? Yaani jamaa wale ni wajinga sana kuna siku nimepita pale kwa mguu jamaa muuza juice akanichangamkia as if ananijua ananiongelesha Mambo vipi we jamaa? Habari za siku nyingi...
  9. T

    Kwanini Malipo ya kazi ya anuani za makazi Ilala yawe ni kidogo sana?

    Habarini, Niende moja kwa moja kwenye mada. Kiukweli nimefurahishwa na huu mpango wa anuani ya makazi na postikodi ambao kwa namna moja au nyingine litawezesha vijana kupata ajira hizo za muda mfupi. Kilichonisukuma kuandika ni kuona vijana watakaofanikiwa kupata kazi hizo kulipwa ujira...
  10. Mkuu wa Wilaya Ilala, ahadi yako ya ukarabati wa hili daraja lini itatimia?

    Kutokana na athari za mvua zile za mwanzo za mwezi Desemba mwaka jana daraja lililopo eneo la Mwanzo Kata ya kifuru-Kinyerezi lilikatika na kuharibiwa vibaya na hivyo kuleta changamoto kubwa kwa wakazi wa maeneo hayo. Mkuu wa wilaya ya Ilala alifika kwenye Desemba 17 kujionea athari na kuahidi...
  11. Sababu za kimaandiko kwanini baadhi ya waislamu wanao miliki nyumba Magomeni Na Ilala huwa hawapangishi wakiristu ( Hasa Hasa walokole)

    Nimetaja Magomeni Na Ilala kwa Sababu almost 90 percent of my extended family live there. Awali ya yote naomba Ku declare interest. I am a Muslim but an open minded one . Am a kind of Muslim who can listen to Jim Reeves or Boney M bila wasiwasi wowote. Na HII ni Kwa Sababu licha ya...
  12. Malalamiko juu ya moshi wa kiwanda cha Guoyang Biotech kilichopo Mvuti

    Nimeona hii tweet nikashangaa sana kama haya yanawezekana kwa zaidi ya mwaka, angalia video!. Moshi ni mchana kutwa usiku kucha kuna muda nasikia kizunguzungu naanguka'. Malalamiko juu ya kiwanda cha Guoyang Biotech kilichopo Ilala 'Nakohoa nakohoa imekuwa kazi yangu kukohoa'
  13. Upanuzi wa Ubungo na TAZARA sasa Ilala na Mbagala wameondoka bila malalamiko, kwanini Kariakoo na Posta

    Wana JF, Kama kuna kitu kinakera ni kuangushiana jumba bovu. Katika upanuzi za barabara za mwendokasi na madaraka, tumeshuhudia wafanyabiashara wengi wakipisha ujenzi bila shuruti kwa kuwa wanajua ni suala la muda tu wataondoka. Watu hawa unatafuta sehemu ya kuamishia biashara zao bila...
  14. Jengo la TANESCO Chato, kubwa kuliko la Wilaya Temeke lenye wateja milioni na nusu

    Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye mji wa wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza. Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea. Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani...
  15. A

    Malalamiko/ Ufafanuzi na Ushauri kuhusu Ushuru wa Maegesho Ilala, Temeke na Kigamboni Jiji la Dar es Salaam

    Ascerics LTD ni Kampuni ya Kitanzania yenye uzoefu mkubwa katika zoezi zima la kukusanya Ushuru wa maegesho nchini Tanzania. Ili kuboresha huduma zetu za maegesho (Parking services ) kwa system mpya ya E-parking katika Jiji la Dar-es-Salaam. Kanda no 2 ambao tunasimamia Ilala, Temeke, na...
  16. Zimamoto IIala wadhibiti moto Kariakoo (Julai 4, 2021)

    Kariakoo inaungua na moto muda huu ====== Dar es Salaam: 04.07.2021 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, limefanikiwa kudhibiti moto uliokuwa ukiwaka katika nyumba inayomilikiwa na familia ya Mussa Pazi, iliyopo mtaa wa Mafia na Msimbazi, Kariakoo. Chanzo cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…