Ni mwezi, miezi na mwaka sasa watendaji wa umma wameamua kuwa sikio la kufa.
Mnamo mwezi ya saba mwaka 2024 mh waziri alitembelea kinyerezi kuondoa kero ya maji iliyotesa wananchi. Aliiweka chini ya uangalizi wa wizara, cha ajabu mwaka unatimia kero ikiandama wananchi wa saranga na kinyerezi...
Nilifanikiwa Kutembelea Ofisi Ya Kata Ya Kivule, Iliyopo Wilaya Ya Ilala, Mkoa wa Dar Es Salaam, Ili Kuweza Kupitia Taarifa Ya Utekelezaji wa Ilani Ya Chama Cha Mapinduzi Kwenye Kata Ya Kivule Iliyotekelezwa Kwa Muda Wa Juni - Disemba 2024, Kwa Mapato Ya Ndani - Halmashauri Ya Jiji La Dar Es...
UTANGULIZI: Mwaka huu 2025, Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge wake. Ni muda muafaka kwa vyama vya siasa kujinadi na sera zitakazoleta Maendeleo kwa Taifa letu ndani ya miaka mitano ijayo. Hata hivyo, kwa kuchambua vipaumbele vya ILANI zilizopita, na hasa vya Chama Tawala (CCM)...
Miongoni Mwa Mafanikio Ya Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan Katika Wilaya Ya Ilala
- Ujenzi wa Barabara Ya Mwendokasi; Katika Uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kumetekelezwa Ilani Ya Ujenzi wa Barabara Ya Mwendokasi Inayoendelea Kujengwa Ili Kupunguza Kero Ya Usafiri Kwa Wakazi wa...
Ona namna shule, madaraja barabara na shule pia hospitali zinavyojengwa .
Je ni Mtanzania gani angechagua upinzani?
Hii ndio sababu ya wagombea CCM kupita bila kupingwa kwa asilimia 90.
Utunzaji wa mazingira na kupambana na mabadiliko ya tabianchi ni masuala muhimu kwa maendeleo ya nchi yoyote, hasa zile zinazokabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa, kama ilivyo kwa nchi yetu Tanzania. Katika muktadha wa kisiasa, ilani za vyama vya siasa zinachukua nafasi muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.