β’ Habari wana JamiiForums na wafanyabiashara wenzangu, nataka nitengeneze milioni yangu ya kwanza mapema mwaka huu. Hata hivyo, Maana nimekuwa kila nikitafuta hela nashindwa kufikisha million , nataka kujua ni umri gani nyie mlitengeneza milioni ya kwanza na jinsi mlivyofanya au uwekezaji...