UTANGULIZI
Kama ilivyo kwa vijana wengi wa kitanzania nilikuwa na ndoto ya kumaliza shule kwa kutaka kusoma kadri ya uwezo wangu ili mwishowe niweze kuhitimu masomo yangu, nipate kazi ambayo ingenisaidia kujikimu na kuinua kipato changu pamoja na kusaidia familia yangu kuondokana na wimbi la...