iliyokuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyambizi iliyopotea mpaka kesho saa 9 alasiri itaishiwa oxygen

    Siku tatu zilizopita chombo cha submersible kimepotea ndani ya maji katika bahari ya Atlantic, ndani yake kuna watu 5 wote wanaume. Chombo hiki kinaweza kuzama mpaka umbali wa mita 3,800 chini ya bahari, sawa na futi 12,500. Kinaweza kukaa na hewa ya oxygen kwa muda wa saa 99 pekee, na huu muda...
  2. TikTok inagaragaza YouTube iliyokuwa ikisumbua kwa miaka mingi

    TikTok imekuja kummaliza kabisa YouTube aliyekuwa akisumbua kwa miaka mingi. YouTube hana mvuto kwasasa kila simu ya kijana anayefahamu nini maana ya utandawazi basi ana App ya TikTok kwenye simu yake. Wengi wanajitahidi ku Uninstall App ya YouTube ila bahati mbaya inakuja Pre Installed kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…