Picha hiyo huyo ni Ilyas Abdulwahid Sykes. Jina la utani udogoni tukimwita "Jaluo."
Kanitembelea nyumbani kwangu na hapa namwonesha Maktaba iliyohifadhi historia ya baba yake marehemu Abdulwahid Sykes.
Baada ya kifo cha baba yake Ilyas na kaka yake marehemu Kleist walikwenda kusoma Canada...