imam

  1. A

    Imam Hendricks 🌈 auawa

    Shehe huyu kauawa huko SA kwa kujitangaza hadharan kuwa yeye ni shoga
  2. ukwaju_wa_ kitambo

    Profesor jay ( na bado) - imam abbas

    PROFESOR JAY - NA BADO Na mwaga Damu juu ya fedha/ na dini mitaa ya kati/ kuwa makini Tumuamini nani..?/ mie mc fanani mchaza vichwa Amani/ Au kiongozi Saratani / acha hanasa na mpaka Siasa hakuna Tundu kwenye Sanaa/ hii balaa jiangalie saa ukutani/ tufanye kweli kwenye fani/ kuwa mapaga nani...
  3. MK254

    Imam aliyeishi Italy miaka 30 afukuzwa baada ya kuagiza waislamu waanze vita dhidi ya wasioamini katika uislamu

    Alipewa hifadhi miaka 30 Italy uzunguni, ghafla kaingiwa na ile mizuka yao na kuanza kuhubiri ugaidi wa kiislamu kwamba waislamu wote waanze vita dhidi ya wasiaomini kwenye hiyo dini. Swali la kujiuliza, hii dini imebuniwa juzi tu, miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, waumini wake wanajiaminisha...
  4. Ritz

    Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malen

    Wanaukumbi. Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malengo ya jeshi la Iran. https://x.com/haiderali099/status/1850040504513163449?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  5. MK254

    Watoto wanafunzi wa madrassa wamuua Imam aliyekua anawalawiti

    Jamaa alikua anatoa ilmu ya kurani huku akiwalawiti hao wavulana, wakaamua kuungana na kumpa madawa ya usingizi, alipolala wakamuua.....bora akapewe mabikira kule. ‘He was sexually abusing us’: 6 minor students of a madrasa arrested for murder of Maulana Mohammad Mahir, say they were fed up...
  6. MK254

    Huyu imam aweka sawa kuhusu ardhi ya Wayahudi, hivi waarabu wa Bongo mnakwama wapi

    Wenye dini yao wameongea, nyie mnaowaiga kwa kuvaa dera/kanzu huko mnakwama wapi kujiongeza..... https://twitter.com/sanderson17280/status/1774137548605993180?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1774137548605993180%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=
  7. MK254

    Imam atolea maelezo jinsi inaruhusiwa kuteka na kuua watu kwenye uislamu

    Aagiza Wayahudi wasakwe na kutekwa na kuuawa maana kurani imetoa maagizo hayo, Wayahudi wanafahamika kama "people of the book" kwenye kurani. ==================...
  8. D

    Hakuna anayeruhusiwa kuwa Imam bila kuwa na kazi inayomuingizia kipato.

    Huku kwetu tunadanganywa sana eti mtu anakuwa padre, mchungaji au Pastor halafu hatoi sadaka kabisa ispokuwa waumini ndo wanaokamuliwa as if ndo Wana pesa. Mapadre wanashinda Baa wanakunywa pombe lakini kutoa sadaka siyo jukumu lao Bali la waumini wanapwaita walaei. Uislamu ni dini ya haki na...
  9. Mhaya

    Mkanganyiko wa Kiimani

    Pichani, Jamaa mwenye nguo nyeupe 🤍 anadai kuambiwa na MUNGU kuwa anywe pombe lakini asioe. Vilevile jamaa mwenye nguo nyeusi 🖤 nae anadai kuambiwa na MUNGU kuwa asinywe pombe lakini aoe wanawake wengi. Je ni Upande hupi ni Sahihi, 🤍 au 🖤?
Back
Top Bottom