PROFESOR JAY - NA BADO
Na mwaga Damu juu ya fedha/ na dini mitaa ya kati/ kuwa makini Tumuamini nani..?/ mie mc fanani mchaza vichwa Amani/ Au kiongozi Saratani / acha hanasa na mpaka Siasa hakuna Tundu kwenye Sanaa/ hii balaa jiangalie saa ukutani/ tufanye kweli kwenye fani/ kuwa mapaga nani...