Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba imemteua Raia wa Rwanda, Uwayezu Francois Regis kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu hiyo kuanzia Agosti 1, 2024 baada ya Mkurugenzi aliyekuwepo, Imani Kajula kujiuzulu miezi michache iliyopita
UwayezuFrancoisRegis amewahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa...