imani na dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tashwishwi ya Biblia kweli ni kitabu cha Mungu?

    BAADHI YA MISTARI YA BIBLIA 2 samweli 1:18 (Kama ilivyoandikwa katika kitabu Cha YASHARI), akasema , wana wa Yuda wafundishwe haya. Yoshua 10:13 Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia, Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao. Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu...
  2. Haya akina Mwamposa, Mwacha na Wenzenu dalili ya Mvua ni Mawingu

    "Hivi sasa yameibuka mafundisho ya baadhi ya viongozi wa dini yanayowaaminisha wafuasi wao, kutegemea miujiza Zaidi, ili kupata maendeleo badala ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa, viongozi hao wanawaelekeza waumini wao kwenda kwenye nyumba zao za ibada, ili wakaombewe wapate mali, ikiwemo...
  3. U

    Ushuhuda: Mchungaji wetu amekiri alikuwa mvuta bangi akiwa mtumishi wa Kanisa, alibatizwa mara mbili, sasa ameacha bangi kabisa

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Je ni sahihi mchungaji kukiri kuwa alikuwa mvuta bangi mbele ya waamini wake? Asubuhi njema
  4. Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

    Baada ya serikali kulifungia Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya Wachawi, sasa mlinzi wake maarufu Mwarabufighter1 ameposti video kwenye mtandao wa kijamii akiwa na Mchungaji Dibwe Lubumbashi nchini Kongo. Soma pia: Kufungiwa kwa...
  5. Hatimaye Waislam nao wamefikiwa na wasanii kwenye mahubiri

    Baada ya waislamu kuucheka,kuuponda ukristo hatimae nao wamefikiwa na wahuni Huyu kwetu sisi wakristo ni muhuni kama wahuni wengine tu Hana tofauti na kiboko ya wachawi. Nimemaliza
  6. Mafunzo, mafundisho na maelekezo ya dini sio sawa na elimu ya dini

    Mara nyingi sana waswahili huwa wanazungumzia mtu kupata elimu ya dini lakini kiuhalisia huwa wanamaanisha ni mafunzo/maelekezo ya dini ya mtu husika. Elimu ya dini au kwa Kingereza "religious education/studies" ni ile elimu ya darasani mtu anayosemea kuhusu dini husika au dini mbalimbali akiwa...
  7. D

    Maajabu ya baadhi ya makanisa: Wapo radhi kumwabudu na kumheshimu Mwamposa lakini siyo Bikira Maria kama vile alifanya kosa kubwa sana kumzaa Yesu

    This is too contradictory. Wanaojiita walikole wakiongozwa na KKKT wako radhi kumwabudu au kumheshimu mchungaji wao na kumuona Bikira Maria si chochote wala lolote. Naona hata yesu huwa anawashaa sana. Bikira Maria kwao wanamuona kama bahasha iliyokuwa ndani ina barua. Baada ya kuitoa barua...
  8. Umejiandaaje na uwepo wa Anti-Christ

    Kuna hii kitu ambayo inaitwa Anti Christ. Kitu hii kweli mbona inakuja kwa kasi sana wakuu nyie mmejiandaaje?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…