Licha ya wanajeshi makatili wa Israel kuweka vizuizi vingi na vikali, lakini maelfu ya Wapalestina wamehakikisha wanafika kwenye Msikiti wa al-Aqsa na kutekeleza ibada ya Swala ya Idul Hajj ambayo ni katika Sunna zilizotiliwa mkazo mno na dini tukufu ya Kiislamu.
Aidha Swala ya Iddi imeswaliwa...